Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Wakuache uzurure..kuzurura kwako Kuna faida ..Ila jioni uwahi kurudi..joanah apumzike kupika.Elewa basi cha utundu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuache uzurure..kuzurura kwako Kuna faida ..Ila jioni uwahi kurudi..joanah apumzike kupika.Elewa basi cha utundu
BABU:mshana jr(huyu babu najua atanifaa sana nikikutana na changamoto za washirikiana(jokes)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Natumai hamjambo wanabodi.
Wakuu ikiwa utaambiwa kuunda familia kwa kutumia member wa jamii forums, familia yako itakuwaje? Yangu iitakuwa kama ifuatavyo:
BABA: daud mchambuzi(Baba yangu ni mbabe babe kama huyu mwamba hivo anastahili nafasi hii)
MAMA:khantwe(huyu dada tangu nimfaham hapa ndani naamin ni mama bora)
SHANGAZI:sky eclat(shangazi anapaswa kua mtu serious kidogo type ya huyu dada)
MJOMBA:ushimen(mjomba anapaswa kua mtu kati kama huyu bwana)
BABU:mshana jr(huyu babu najua atanifaa sana nikikutana na changamoto za washirikiana(jokes)
BIBI:kasie(huyu bibi kupitia utani wa bibi na mjukuu wake atanifunza mahaba maana anayajua kupitiliza
MKE: katoto kazuri(napenda mke mchangamfu na mwenye vituko kama huyu dada)
WATOTO: da vinc,kenzy, chakorii, yna2, joanah(napenda watoto wenye akili &watundu, hivo nilowataja wapo wenye akili pia wapo watundu.)
NDUGU WENGINE: wanajamii forums wote waliobaki.
Je kwa upande wako familia yako itakuwaje?.
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Baba: Mshana
Mama: FaizaFox
Kaka: Kiranga
Dada: Mama Debora
Tutahitaji na msuluhishi wa kudumu wa familia, so
Msuluhishi: The boss
[emoji1]
We ushamaliza yawache Mambo yajipange Kuna mi komamanga naona inataka kuzaa mihogo..😅mwanangu KENZY, wachunge sana madada zako maana mlinzi kashanambia kuna vinjemba vinawaijia tunapokua kazini, kazi hii nilimpa da vinc mdogo wako bt nadhani anawaonea aibu dada zake...
Kwanza we kaa kimya kwani nani hajui kuwa jana ulijikojolea kitandani..!!Braza unajikuta m'babeeee...hivi unadhani chakorii na vinc watakuunga mkono..??!!!
Wenyewe wamekuchoka na udikteta wako..Sasa Waite tukuchangie
Kwanini hutaki kuamini waakati mtu anaatoka kibaha kuifuata biriani kinondoni?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dar kuna ujinga mwingi mnooHaaa haaa siamini hayo, [emoji23][emoji23] labda
🤣🤣🤣🤣🤣 Wacha meneno yako...na ukubwa huu nijikojolee..!!..umeishiwa braza....vinc mwenyewe aliniambia amekufuma jikoni unaonja maziwa ya paka..nimwite aje akuumbueee!!!!...Ila ngoja nikukaushie Kaka mkubwa unatia aibu.Kwanza we kaa kimya kwani nani hajui kuwa jana ulijikojolea kitandani..!!
Waite waje wathibitishe au nimwambie Vinci akachome kwa dingi..?
We leta kiburi tukiburudishe..😂
mwanangu MR. IBU ndo kwanza siku 2 umekuja tayari ushaanza malumbano, hebu kaa kwa kutulia na nduguzo hapa ndani....Huyo atatulia tu,kwanza hajafanana na mdingi hapo itabidi wakapime DNA.Na itabidi bi mdashi atueleze vizuri hii mbegu kaitoa wapi.Na kwenye ulisi asiji hesabie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata kama gari limejaa atajibana humo kama mihogo [emoji3][emoji3][emoji3]Kwanini hutaki kuamini waakati mtu anaatoka kibaha kuifuata biriani kinondoni?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dar kuna ujinga mwingi mnoo
😂😂😂 kweli ndugu yangu hunipendi,walini singizia tu.kutokana nimekulia uswahilini vitu kama hivyo kawaida tu.Dingi keshamaliza we mpake mafuta huyo mtu wako kwa mgongo wa chupa..😅
Halafu huyo jamaa si ndo yule alieiba viatu vya watu walikuwa wameingia msikitini..😂
Nyie leteni balaa tu
Ila dingi wanao umewalea kimayai sana sidhani kama watakaa hata wiki huko kijijini.mwanangu MR. IBU ndo kwanza siku 2 umekuja tayari ushaanza malumbano, hebu kaa kwa kutulia na nduguzo hapa ndani....
mwishoni mwa mwezi natarajia nikupeleke kijijini ukawajue bibi yako khantwe na babu yako Daud mchambuzi maana hawakujui, pia na wadogo zako tutaongozana nao.
Naona adabu imeshuka hao madogo walishaniambia wamechoka na wamekinai tabia yako ya kujikojolea wamepanga wakuimbie kindumbwendumbwe..😂🤣🤣🤣🤣🤣 Wacha meneno yako...na ukubwa huu nijikojolee..!!..umeishiwa braza....vinc mwenyewe aliniambia amekufuma jikoni unaonja maziwa ya paka..nimwite aje akuumbueee!!!!...Ila ngoja nikukaushie Kaka mkubwa unatia aibu.
Walikusingizia wakati na video ipo! Sio kwa mbio zile..😂😂😂😂😂 kweli ndugu yangu hunipendi,walini singizia tu.kutokana nimekulia uswahilini vitu kama hivyo kawaida tu.
Ni wivu tu..
dada mwambie huyo kakaBraza unajikuta m'babeeee...hivi unadhani chakorii na vinc watakuunga mkono..??!!!
Wenyewe wamekuchoka na udikteta wako..Sasa Waite tukuchangie
WeraaaaaaaahHaya matoto ya hivi ndio yanayoharibu miji the dingi kashasema mi ndo first born Sasa nitadili nawe mpk kieleweke nani ni nani..😂
Kwa hapa jf unaweza chagua mama Joanah kumbe joanah mwenyew ni njemba imekaa tu inakuangalia inasemaa hiiii