Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,436
Natumai hamjambo wanabodi.

Wakuu ikiwa utaambiwa kuunda familia kwa kutumia member wa jamii forums, familia yako itakuwaje? Yangu iitakuwa kama ifuatavyo:

BABA: daud mchambuzi(Baba yangu ni mbabe babe kama huyu mwamba hivo anastahili nafasi hii)

MAMA:khantwe(huyu dada tangu nimfaham hapa ndani naamin ni mama bora)

SHANGAZI:sky eclat(shangazi anapaswa kua mtu serious kidogo type ya huyu dada)

MJOMBA:ushimen(mjomba anapaswa kua mtu kati kama huyu bwana)

BABU:mshana jr(huyu babu najua atanifaa sana nikikutana na changamoto za washirikiana(jokes)

BIBI:kasie(huyu bibi kupitia utani wa bibi na mjukuu wake atanifunza mahaba maana anayajua kupitiliza

MKE: katoto kazuri(napenda mke mchangamfu na mwenye vituko kama huyu dada)

WATOTO: da vinc,kenzy, chakorii, yna2, joanah(napenda watoto wenye akili &watundu, hivo nilowataja wapo wenye akili pia wapo watundu.)

NDUGU WENGINE: wanajamii forums wote waliobaki.

Je kwa upande wako familia yako itakuwaje?.
 
natumai hamjambo wanabodi.

wakuu ikiwa utaambiwa kuunda familia kwa kutumia member wa jamii forums, familia yako itakuwaje?
YANGU ITAKUA KAMA IFUATAVYO:

BABA:daud mchambuzi(Baba yangu ni mbabe babe kama huyu mwamba hivo anastahili nafasi hii)

MAMA:khantwe(huyu dada tangu nimfaham hapa ndani naamin ni mama bora)

SHANGAZI:sky eclat(shangazi anapaswa kua mtu serious kidogo type ya huyu dada)

MJOMBA:ushimen(mjomba anapaswa kua mtu kati kama huyu bwana)

BABU:mshana jr(huyu babu najua atanifaa sana nikikutana na changamoto za washirikiana(jokes)

BIBI:kasie(huyu bibi kupitia utani wa bibi na mjukuu wake atanifunza mahaba maana anayajua kupitiliza

MKE: katoto kazuri(napenda mke mchangamfu na mwenye vituko kama huyu dada)

WATOTO: da vinc,kenzy, chakorii, yna2, joanah(napenda watoto wenye akili &watundu, hivo nilowataja wapo wenye akili pia wapo watundu.)

NDUGU WENGINE: wanajamii forums wote waliobaki.

je kwa upande wako familia yako itakuwaje?.
Mi kuwa mtoto..😅
Nitarudi..
 
Ila hii familia jamani🙆 mama katoto kazuri baba wewe..watoto Kuna kenzy na chakoriiii 🤣🤣🤣 Bora joannah na da vinc Cha upole..Mimi sitabiriki dk mbili mbele....tutawaua na presha aisee..hii familia Bibi kantwe aingilie Kati.
 
Back
Top Bottom