Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

BABU:mshana jr(huyu babu najua atanifaa sana nikikutana na changamoto za washirikiana(jokes)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kweli babu ntakutafta masaibu ya wanga yakinipata.
 
Naona adabu imeshuka hao madogo walishaniambia wamechoka na wamekinai tabia yako ya kujikojolea wamepanga wakuimbie kindumbwendumbwe..😂

Halafu adhabu yako utapika siku 3 mfululizo Sasa ole wako uunguze kama juzi na ile ita yako ukiivisha ati Rudi nyumbani kumenoga kumbe ndo uliunguza vile..🤣

Hebu mwambie Joanah akupe twisheni ya kupika..
Akiiikubali hii twisheni naomba unitag
 
Walikusingizia wakati na video ipo! Sio kwa mbio zile..😂😂
Na ulivyo na roho mbaya ukashindwa hata kunitetea.wewe si umezoea mjini ngoja tukifika kijijini kwa bibi na babu ndio utanielewa vizuri.
Ni mwendo wakukata kuni mwanzomwisho na sitokusaidia kwa ujeuli wako.
 
We kwanza sikujui umekujaje kujaje kwenye familia na hayo matishio yako utakomaa nayo.. mtaenda nyie mi ntabaki naangalia nyumba then ntaingiza mchuchu wangu..😜
Kuwa na adabu unapozungumza na Kaka yako..
 
Ila dingi wanao umewalea kimayai sana sidhani kama watakaa hata wiki huko kijijini.
tukienda kijijini hua tunachukua huduma zote maana kule kuna tabu tupu na wanangu sipendi wateseke.
 
Back
Top Bottom