- Thread starter
- #121
kweli babu ntakutafta masaibu ya wanga yakinipata.BABU:mshana jr(huyu babu najua atanifaa sana nikikutana na changamoto za washirikiana(jokes)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli babu ntakutafta masaibu ya wanga yakinipata.BABU:mshana jr(huyu babu najua atanifaa sana nikikutana na changamoto za washirikiana(jokes)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akiiikubali hii twisheni naomba unitagNaona adabu imeshuka hao madogo walishaniambia wamechoka na wamekinai tabia yako ya kujikojolea wamepanga wakuimbie kindumbwendumbwe..😂
Halafu adhabu yako utapika siku 3 mfululizo Sasa ole wako uunguze kama juzi na ile ita yako ukiivisha ati Rudi nyumbani kumenoga kumbe ndo uliunguza vile..🤣
Hebu mwambie Joanah akupe twisheni ya kupika..
Na ulivyo na roho mbaya ukashindwa hata kunitetea.wewe si umezoea mjini ngoja tukifika kijijini kwa bibi na babu ndio utanielewa vizuri.Walikusingizia wakati na video ipo! Sio kwa mbio zile..😂😂
Atakubali tu hata kwa mkono wa nunda lazima anyooke huyu..😎Akiiikubali hii twisheni naomba unitag
We kwanza sikujui umekujaje kujaje kwenye familia na hayo matishio yako utakomaa nayo.. mtaenda nyie mi ntabaki naangalia nyumba then ntaingiza mchuchu wangu..😜Na ulivyo na roho mbaya ukashindwa hata kunitetea.wewe si umezoea mjini ngoja tukifika kijijini kwa bibi na babu ndio utanielewa vizuri.
Ni mwendo wakukata kuni mwanzomwisho na sitokusaidia kwa ujeuli wako.
tukienda kijijini hua tunachukua huduma zote maana kule kuna tabu tupu na wanangu sipendi wateseke.Ila dingi wanao umewalea kimayai sana sidhani kama watakaa hata wiki huko kijijini.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au sioAma vile Hazard CFC wanyomchukia wa kiume kumbe ni mama mwenye mume na family yake [emoji1787][emoji1787]
Baba wake wote hao hawakutoshi hadi utamani na family friends 😀😀😀Mama Jael
Mke Mzigua90
Mke mwingine Shunie
Mke mwingine Hornet
Family friends ambao mda wowote wanaweza kua converted kua wake[emoji16][emoji16] Joanah financial services Depal Saint Anne
Mama mdogo Zoë
Rafiki wa baba yna2
Mcheps
1.
2.
3.
Naomba kuwakilisha
My lovely son, ningefurahi kuwa Mama Sumbaiii😀 au ulimaanisha "Mamaa"?
Kwamba mimi haujanihesabu kwenye familia yako? Naomba niwe wifiMume wangu Eli79
Watoto wetu
Heaven Sent
Zoë
Da vinci(dogo sijui anatumia jina gani now[emoji134]
Mtoto wa kambo Hazard CFC
Kaka Kataskopos na SHIMBA YA BUYENZE
Dada Makiseo
Sasa kuna wale ma aunty zangu(panya)
Shunie
Sakayo
Family frends
amu
Hannah
Saint Anne
sumbai
Mnazareth
My lovely son, ningefurahi kuwa Mama Sumbaiii[emoji3] au ulimaanisha "Mamaa"?
Mume wangu Eli79
Watoto wetu
Heaven Sent
Zoë
Da vinci(dogo sijui anatumia jina gani now[emoji134]
Mtoto wa kambo Hazard CFC
Kaka Kataskopos na SHIMBA YA BUYENZE
Dada Makiseo
Sasa kuna wale ma aunty zangu(panya)
Shunie
Sakayo
Family frends
amu
Hannah
Saint Anne
sumbai
Mnazareth
Wake watatu hawakutoshi?
Hivi wanaume wa Dar bado mna uwezo wa kumudu wake zaidi mmoja?[emoji848]
ThreesomeHutoangalia tena kitu gani?
Mi naomba uniweke kwenye mchepukoMama Jael
Mke Mzigua90
Mke mwingine Shunie
Mke mwingine Hornet
Family friends ambao mda wowote wanaweza kua converted kua wake[emoji16][emoji16] Joanah financial services Depal Saint Anne
Mama mdogo Zoë
Rafiki wa baba yna2
Mcheps
1.
2.
3.
Naomba kuwakilisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanini tushindwe