Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
Hahaha...polee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daaah usinikumbushe machungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha...polee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daaah usinikumbushe machungu
Hahaha...polee
Waficha sura tena ???[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hivi mama ni katoto kazuri?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We are dead!!
Chakoriiusijali mkuu, we chagua mmoja kwenye list kisha tuongee bei ya MAHARI.
nikikupigia gharama za malezi hutoweza kunipa hizo pesa hivo mi nataka mill 3.5 kama shukrani ya malezi ili ujitwalie mke.
Yaani mshukuru Mungu kwa hiloMy Douta anajielewa..Anamjua baba yake nani..Huyu mama ake genye zinamsumbua..Nashukuru douta anajielewa..Vinginevyo angekuwa ameshamuharibu..
We jirani yake na shadeeya ..unasemaje😅😅
Mdingi mbona kama unaniuza bei kubwa sana.... Mtoto halali na hela atanitesanikikupigia gharama za malezi hutoweza kunipa hizo pesa hivo mi nataka mill 3.5 kama shukrani ya malezi ili ujitwalie mke.
😳😳😳😳😳😳Lips za Taifa![emoji28][emoji28][emoji28]
thaman yako ni kubwa kuliko hiyo mahari, nimeamua kumpunguzia tu coz anaonekana ni hazbandi matirio pia ni HENDISAM hivo natarajia kupata wajukuu wazuri.Mdingi mbona kama unaniuza bei kubwa sana.... Mtoto halali na hela atanitesa
Sijambo
Punguza hasira mi kaka yako sahivi nipo kidemokrasia zaidi..
Vyema.. kamsaidie chakorii kupika si unajua pika yake! Ye kila siku yupo mbele ya muda..😂Sijambo
Baba muache dada yangu achague amtakae mahali si issue Sana ni Mambo ya kuzungumza tu kikubwa upendo.thaman yako ni kubwa kuliko hiyo mahari, nimeamua kumpunguzia tu coz anaonekana ni hazbandi matirio pia ni HENDISAM hivo natarajia kupata wajukuu wazuri.
Unamtafuta chakorii wewe..siingilii ugomvi wenu...Ngoja nikapikeVyema.. kamsaidie chakorii kupika si unajua pika yake! Ye kila siku yupo mbele ya muda..😂
Kutoa boko hayo ni matokeo frequently..