Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

My Douta anajielewa..Anamjua baba yake nani..Huyu mama ake genye zinamsumbua..Nashukuru douta anajielewa..Vinginevyo angekuwa ameshamuharibu..
Yaani mshukuru Mungu kwa hilo
 
thaman yako ni kubwa kuliko hiyo mahari, nimeamua kumpunguzia tu coz anaonekana ni hazbandi matirio pia ni HENDISAM hivo natarajia kupata wajukuu wazuri.
Baba muache dada yangu achague amtakae mahali si issue Sana ni Mambo ya kuzungumza tu kikubwa upendo.
 
Back
Top Bottom