Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

Halafu baadae ntakuwa nakikao nanyi wataarifu na wenzako.. ukipika usisahau kuniachia ukoko..😜😂
Aaah brazaaa...ukoko tena..!! Ukoko anaupendaga joanah na leo nikipika wali namuwekea laini laini asipate shida wakati wa kuula...wewe subiri ukoko wa wali wa chakorii kwakweli

Kikao kinahusu Nini?..na isiwe muda wa vinc wa kuangalia movie si unajua anavyopenda kulalamika akiharubiwa ratiba zake eeh!!
 
Kama ni huyo atapika basi msiniwekee ukoko kuleni tu..😅

Ukifika wakati mtaelewa kikao kinahusu nini.. Vinci hongo ya soda tu itamtosha kumtuliza..
 
Dada Hannah.
Dada Hornet

Napenda wadada wakorofi wanitetee mdogo wao.

Lakini nina mdogo mmoja masikivu na mpole mno Saint Anne.

Makiseo awe wifi yangu kwa kaka yangu SHIMBA YA BUYENZE.

Sijabahatika kuzaa na sijaolewa lakini mchepuko wangu ni yule yule wa siku zote dada zangu wanamjua.

Mama yetu ni FaizaFoxy baba yetu ni malcolm Lumumba
(malcolm Lumumba sijui kwa nini haiji anyway popote ulipo mzee wewe maandishi yako huwa yananifundisha na kunielimisha)
 
Baba muache dada yangu achague amtakae mahali si issue Sana ni Mambo ya kuzungumza tu kikubwa upendo.
mabinti zangu nimewalea kwa gharama kubwa sana hivo anaewataka lazima akubali kugharamika, mimi mama yenu nilitoa mahari ya mill 7 na ndoa juu.
 
Dada Hannah.
Dada Hornet

Napenda wadada wakorofi wanitetee mdogo wao.

Lakini nina mdogo mmoja masikivu na mpole mno Saint Anne.

Makiseo awe wifi yangu kwa kaka yangu SHIMBA YA BUYENZE.

Sijabahatika kuzaa na sijaolewa lakini mchepuko wangu ni yule yule wa siku zote dada zangu wanamjua.

Mama yetu ni FaizaFoxy baba yetu ni malcolm Lumumba
(malcolm Lumumba sijui kwa nini haiji anyway popote ulipo mzee wewe maandishi yako huwa yananifundisha na kunielimisha)
Una bahati sana kwa sababu ili mtu akufikie na kukudhuru wewe inabidi awe amepambana na Mimi na akashinda. Na nitakupambania haijalishi kosa ni lako au sio lako.
Kwanza sitataka kujua sababu ya huo mgogoro nitahakikisha unakuwa salama kwanza kisha baadae kabisa ndio nitakuuliza "hivi ulifanya nini lakini hadi ikapelekea ile hali"?😂😂😂
 
Una bahati sana kwa sababu ili mtu akufikie na kukudhuru wewe inabidi awe amepambana na Mimi na akashinda. Na nitakupambania haijalishi kosa ni lako au sio lako.
Kwanza sitataka kujua sababu ya huo mgogoro nitahakikisha unakuwa salama kwanza kisha baadae kabisa ndio nitakuuliza "hivi ulifanya nini lakini hadi ikapelekea ile hali"?[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sijakosea aiseeee.
Nimecheka sana.
 
Dada Hannah.
Dada Hornet

Napenda wadada wakorofi wanitetee mdogo wao.

Lakini nina mdogo mmoja masikivu na mpole mno Saint Anne.

Makiseo awe wifi yangu kwa kaka yangu SHIMBA YA BUYENZE.

Sijabahatika kuzaa na sijaolewa lakini mchepuko wangu ni yule yule wa siku zote dada zangu wanamjua.

Mama yetu ni FaizaFoxy baba yetu ni malcolm Lumumba
(malcolm Lumumba sijui kwa nini haiji anyway popote ulipo mzee wewe maandishi yako huwa yananifundisha na kunielimisha)
Hongera kwa family boraaah,
 
Vyema.. kamsaidie chakorii kupika si unajua pika yake! Ye kila siku yupo mbele ya muda..😂
Kutoa boko hayo ni matokeo frequently..
😅😅😅😅familia ikikujua huwezi pata tabu.nashukuru ndugu zangu kwa kunichukulia😅😅😅
 
Back
Top Bottom