KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Halafu baadae ntakuwa nakikao nanyi wataarifu na wenzako.. ukipika usisahau kuniachia ukoko..😜😂Unamtafuta chakorii wewe..siingilii ugomvi wenu...Ngoja nikapike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu baadae ntakuwa nakikao nanyi wataarifu na wenzako.. ukipika usisahau kuniachia ukoko..😜😂Unamtafuta chakorii wewe..siingilii ugomvi wenu...Ngoja nikapike
Family friends si ndo tunaruhusiwa kuja kula kuku mda wowote.Mume wangu Eli79
Watoto wetu
Heaven Sent
Zoë
Da vinci(dogo sijui anatumia jina gani now[emoji134]
Mtoto wa kambo Hazard CFC
Kaka Kataskopos na SHIMBA YA BUYENZE (huyu nahisi mama alibadilishiwa hospitali)
Dada Makiseo
Sasa kuna wale ma aunty zangu(panya)
Shunie
Sakayo
Family friends
amu
Hannah
Saint Anne
sumbai
Mnazareth
Aaah brazaaa...ukoko tena..!! Ukoko anaupendaga joanah na leo nikipika wali namuwekea laini laini asipate shida wakati wa kuula...wewe subiri ukoko wa wali wa chakorii kwakweliHalafu baadae ntakuwa nakikao nanyi wataarifu na wenzako.. ukipika usisahau kuniachia ukoko..😜😂
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mawifi huwa mnachukiwaKwamba mimi haujanihesabu kwenye familia yako? Naomba niwe wifi
Kama ni huyo atapika basi msiniwekee ukoko kuleni tu..😅Aaah brazaaa...ukoko tena..!! Ukoko anaupendaga joanah na leo nikipika wali namuwekea laini laini asipate shida wakati wa kuula...wewe subiri ukoko wa wali wa chakorii kwakweli
Kikao kinahusu Nini?..na isiwe muda wa vinc wa kuangalia movie si unajua anavyopenda kulalamika akiharubiwa ratiba zake eeh!!
Najua hanipendi ndio maana nimeomba uwifi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mawifi huwa mnachukiwa
mabinti zangu nimewalea kwa gharama kubwa sana hivo anaewataka lazima akubali kugharamika, mimi mama yenu nilitoa mahari ya mill 7 na ndoa juu.Baba muache dada yangu achague amtakae mahali si issue Sana ni Mambo ya kuzungumza tu kikubwa upendo.
Ulipigwa mzee..😅🏃🏃mabinti zangu nimewalea kwa gharama kubwa sana hivo anaewataka lazima akubali kugharamika, mimi mama yenu nilitoa mahari ya mill 7 na ndoa juu.
Una bahati sana kwa sababu ili mtu akufikie na kukudhuru wewe inabidi awe amepambana na Mimi na akashinda. Na nitakupambania haijalishi kosa ni lako au sio lako.Dada Hannah.
Dada Hornet
Napenda wadada wakorofi wanitetee mdogo wao.
Lakini nina mdogo mmoja masikivu na mpole mno Saint Anne.
Makiseo awe wifi yangu kwa kaka yangu SHIMBA YA BUYENZE.
Sijabahatika kuzaa na sijaolewa lakini mchepuko wangu ni yule yule wa siku zote dada zangu wanamjua.
Mama yetu ni FaizaFoxy baba yetu ni malcolm Lumumba
(malcolm Lumumba sijui kwa nini haiji anyway popote ulipo mzee wewe maandishi yako huwa yananifundisha na kunielimisha)
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sijakosea aiseeee.Una bahati sana kwa sababu ili mtu akufikie na kukudhuru wewe inabidi awe amepambana na Mimi na akashinda. Na nitakupambania haijalishi kosa ni lako au sio lako.
Kwanza sitataka kujua sababu ya huo mgogoro nitahakikisha unakuwa salama kwanza kisha baadae kabisa ndio nitakuuliza "hivi ulifanya nini lakini hadi ikapelekea ile hali"?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera kwa family boraaah,Dada Hannah.
Dada Hornet
Napenda wadada wakorofi wanitetee mdogo wao.
Lakini nina mdogo mmoja masikivu na mpole mno Saint Anne.
Makiseo awe wifi yangu kwa kaka yangu SHIMBA YA BUYENZE.
Sijabahatika kuzaa na sijaolewa lakini mchepuko wangu ni yule yule wa siku zote dada zangu wanamjua.
Mama yetu ni FaizaFoxy baba yetu ni malcolm Lumumba
(malcolm Lumumba sijui kwa nini haiji anyway popote ulipo mzee wewe maandishi yako huwa yananifundisha na kunielimisha)
Hahahah nacheka tu mimiMama Jael
Mke Mzigua90
Mke mwingine Shunie
Mke mwingine Hornet
Family friends ambao mda wowote wanaweza kua converted kua wake[emoji16][emoji16] Joanah financial services Depal Saint Anne
Mama mdogo Zoë
Rafiki wa baba yna2
Mcheps
1.
2.
3.
Naomba kuwakilisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mume wangu Eli79
Watoto wetu
Heaven Sent
Zoë
Da vinci(dogo sijui anatumia jina gani now[emoji134]
Mtoto wa kambo Hazard CFC
Kaka Kataskopos na SHIMBA YA BUYENZE (huyu nahisi mama alibadilishiwa hospitali)
Dada Makiseo
Sasa kuna wale ma aunty zangu(panya)
Shunie
Sakayo
Family friends
amu
Hannah
Saint Anne
sumbai
Mnazareth
Ebu shangaa anko jamaniShunie mtoto wangu kabisa huyu!
Kama umekubali democrasia braza hakuna shida..ila upunguze maneno sasa😢Punguza hasira mi kaka yako sahivi nipo kidemokrasia zaidi..
😅😅😅😅familia ikikujua huwezi pata tabu.nashukuru ndugu zangu kwa kunichukulia😅😅😅Vyema.. kamsaidie chakorii kupika si unajua pika yake! Ye kila siku yupo mbele ya muda..😂
Kutoa boko hayo ni matokeo frequently..