Ukiamua kuwa na mahusiano na mume/mke wa mtu lazima ukubali kuwa mtumwa

Huyo anakuwa na tamaa tu za kijinga,we mpaka uambiwe yote hayo unataka nawe akuoe au? Ukishajua ni mume wa MTU au mke wa MTU kubali kula tunda tu na si mahaba menginemengine na hilo tunda ni pale wakati unapopatikana tu.Ndoa ya MTU na ubebibebi ni vitu viwili tofauti
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] so unajipitia zako

siku ukimhitaji tu unamalizana nae na kusepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…