Ukiamua kuwa na mahusiano na mume/mke wa mtu lazima ukubali kuwa mtumwa

Ukiamua kuwa na mahusiano na mume/mke wa mtu lazima ukubali kuwa mtumwa

1.Baby samahani dakika moja, wife anapiga simu.

2.Baby muda umeenda Sana mke wangu atanipigia, wacha niwahi kurudi nyumbani, Kesho saa 12 nitakuwa hapa

3 Baby nataka kuja kulala kwako mke Wangu amefiwa kaenda kwao

4..Baby sintaweza kuja Leo, wife kanibana... Pole kwa kuugua

5.Baby tangulia mbele, nitakukuta... Pale wanakaa shemeji zangu, wakituona pamoja watamuambia wife

6.Unaweza kimbiwa katikati ya sherehe usipewe hata nauli ya bodaboda, kesho unaambiwa sorry darling, si uliona wife alitokea ghafa

7. Mkiwa mnaongea kwa simu kwa mahaba mara unashtukia unaitwa Hamadi na kuagwa fasta., baadae unaambiwa mke wangu alitokea ghafla nikawa sina jinsi

8.Unaweza pitwa barabarani na mvua inanyesha,kesho ukaambiwa nilikuona my love, Ila ningefanya nini, nilikua na mke wangu.

9.Unaweza mpigia simu inaita wee hapokei kumbe yupo na mkewe.

10.Unaweza tamani kuwa nae siku iyo akakwambia nina ratiba na mke wangu leo kuna mahali naenda nae.

11.Unaweza onyeshwa Mali alizo nao na uwezo Wa kuzitumia huna, unaishia kula kwa macho tu.

12.Unaweza ambiwa usinitumie msg wife ataona, huna Uhuru.

13.Unaweza ambiwa tulia niongee na wife anapiga simu.

14.Unaweza ambiwa mda flan usinitafute ntakua na wife, usipige simu.

Ili mwisho wa siku ukija kupewa mimba na kuterekezwa usije na kauli zako za kusema wanaume wote ni mbwa[emoji23][emoji23]na kama utafikia hatua ya kuwaita wanaume wote hivyo basi anza na kumtaja baba yako ili twende sawa maana sometimes baadhi yenu mnakuwaga na maujinga meingi sana tafuten waume zenu kihalali.View attachment 1764418
Unaweza ambiwa niko na wife kumbe yuko kwa mchepuko mwingine. Anaweza sema nimelala na wife kumbe mke kasafiri na yeye kalala kwingine
 
Muwe mnatuvumilia tu jamani, pia tunawashukuru kwa kutuelewa tukiwa katika hayo mazingira
 
Kafanyaje??[emoji2371][emoji2371]
Huyu kenge yani amejitengenezea mpaka ki-cirlce yani mimi,mke wangu na yeye.

Alafu imefikia hatua eti anakuwa na wivu na mke wangu kunizidi ata muhusika.

Yani iko hivi akiniona niko na mke wangu haina shida hiyo kwake yani safi kabisa ila akimkuta na mtu mwengine na ngumi inarusha hii kenge bila hofu yoyote.
 
Back
Top Bottom