Ukiamua kuwa na mahusiano na mume/mke wa mtu lazima ukubali kuwa mtumwa

Ukiamua kuwa na mahusiano na mume/mke wa mtu lazima ukubali kuwa mtumwa

Huyu kenge yani amejitengenezea mpaka ki-cirlce yani mimi,mke wangu na yeye.

Alafu imefikia hatua eti anakuwa na wivu na mke wangu kunizidi ata muhusika.

Yani iko hivi akiniona niko na mke wangu haina shida hiyo kwake yani safi kabisa ila akimkuta na mtu mwengine na ngumi inarusha hii kenge bila hofu yoyote.
Duh, anamuonea mke wako wivu huyo ni mlinzi mwema sana, mkeo anamjua huyo mchepuko?
 
Mkuu mchepuko wako anakusumbua nini..!???

Naona ushakuwa mwana falsafa siku hizi.
 
Kuna options mbili tu hapa.

1. (KUZIKA) - Olewa ushee mume

2. (KUSAFIRISHA) - Usiolewe uwe mcheps.

Mbali na hapo tunadanganyana.

Sheria za Kucheps.

1. Onyesha pete mapema, bora mwanamke akukatae mapema kwa fact kuliko kumdanganya.

2. Jua na uwe unaukumbusha moyo wako kuwa NI MARUFUKU kuwa na wivu na mcheps.

3. Mhudumie kwa kadiri unapoona amepata, wapo wanaopwaya kwenye hisia, na wapo wanaopwaya kifedha, jaza hilo ombwe.

4. Muoneshe kuwa unamheshimu MKEO, na kilichokuwepo kwake ni akili zako na uchumi wako tu, na si vinginevyo, hii itamfanya amuheshimu mkeo.


5. USIZAE NA MCHEPUKO, labda kama ulipanga tangu mwanzo, na ulipomfata uliona huyu anaweza kuwa MAMA bora kwa wanao.

NI HAYO TU.
 
Wangu katulia anafuata masharti kikamilifu

Na huo ndio uanaume..

Kuna gazeti la sisiemu liliandika "Wanaume wa siku hizi wana umama".. lilizungumzia namna michepuko inavowaendesha wachepukaji. tofauti na ilivokuwa zamani
 
Na huo ndio uanaume..

Kuna gazeti la sisiemu liliandika "Wanaume wa siku hizi wana umama".. lilizungumzia namna michepuko inavowaendesha wachepukaji. tofauti na ilivokuwa zamani
Mi nahusikaje na hilo gazeti[emoji41][emoji848][emoji848] tuheshimiane
 
Back
Top Bottom