Kuna options mbili tu hapa.
1. (KUZIKA) - Olewa ushee mume
2. (KUSAFIRISHA) - Usiolewe uwe mcheps.
Mbali na hapo tunadanganyana.
Sheria za Kucheps.
1. Onyesha pete mapema, bora mwanamke akukatae mapema kwa fact kuliko kumdanganya.
2. Jua na uwe unaukumbusha moyo wako kuwa NI MARUFUKU kuwa na wivu na mcheps.
3. Mhudumie kwa kadiri unapoona amepata, wapo wanaopwaya kwenye hisia, na wapo wanaopwaya kifedha, jaza hilo ombwe.
4. Muoneshe kuwa unamheshimu MKEO, na kilichokuwepo kwake ni akili zako na uchumi wako tu, na si vinginevyo, hii itamfanya amuheshimu mkeo.
5. USIZAE NA MCHEPUKO, labda kama ulipanga tangu mwanzo, na ulipomfata uliona huyu anaweza kuwa MAMA bora kwa wanao.
NI HAYO TU.