Ukiamua kuwa na mahusiano na mume/mke wa mtu lazima ukubali kuwa mtumwa

1. Baby samahani dakika moja, baby anapiga simu.

2. Baby muda umeenda Sana hubby wangu atanipigia, wacha niwahi kurudi nyumbani, Kesho saa 12 nitakuwa hapa

3. Baby nataka kuja kulala kwako baby Wangu amefiwa kaenda kwao

4. Baby sintaweza kuja Leo, hubby kanibana... Pole kwa kuugua

5. Baby tangulia mbele, nitakukuta... Pale wanakaa shemeji zangu, wakituona pamoja watamuambia hubby

6. Unaweza kimbiwa katikati ya sherehe usipewe hata nauli ya bodaboda, kesho unaambiwa sorry darling, si uliona hubby alitokea ghafa

7. Mkiwa mnaongea kwa simu kwa mahaba mara unashtukia unaitwa Jenny na kuagwa fasta., baadae unaambiwa mme wangu alitokea ghafla nikawa sina jinsi

8. Unaweza pitwa barabarani na mvua inanyesha,kesho ukaambiwa nilikuona my love, Ila ningefanya nini, nilikua na mme wangu.

9. Unaweza mpigia simu inaita wee hapokei kumbe yupo na mmew.

10. Unaweza tamani kuwa nae siku iyo akakwambia nina ratiba na mme m wangu leo kuna mahali naenda nae.

11. Unaweza onyeshwa Mali alizo nao na uwezo Wa kuzitumia huna, unaishia kula kwa macho tu.

12. Unaweza ambiwa usinitumie msg mme ataona, huna Uhuru.

13.Unaweza ambiwa tulia niongee na mme anapiga simu.

14. Unaweza ambiwa mda flan usinitafute ntakua na mme, usipige simu.

Yaan ni full purukushani Sa kama una wivu utajinyonga [emoji1]
 
Ndo maana hua nashangaa!!!!!
 
Kumfanyia Wivu Mke Wa Mtu Huo NI Uchizi,
mkuu Tafuta Wako Uwe Huru
 
Hiv mambo ya kugandana gandana 24/ 7 mnayapendea nini..mshaandaa urith mpaka wa wajukuu zenu!!? Mitahan sana...
 
Back
Top Bottom