Ukiamua kuwa na mahusiano na mume/mke wa mtu lazima ukubali kuwa mtumwa

Siri moja kuu ya kumfaidi mke wa mtu ni lazima na wewe uwe na mke. Hapo ngoma hua ina balance na mtaenjoy sana maana mtakua mnaelewana.
 
Kama hujaoa kaa mbali na wake za watu, kwa wale tuliooa tunajua uchungu wa mke. Na tunasema Ole wako tukutie mikononi. Hiiii ii (in Magu's voice)
Wao hawataki kujituma wanataka vinavyotunzwa waongeze nguvu kidogo.
Ila kuanza from beginning hawataki.
 
Kama hujaoa kaa mbali na wake za watu, kwa wale tuliooa tunajua uchungu wa mke. Na tunasema Ole wako tukutie mikononi. Hiiii ii (in Magu's voice)

Wake zenu wanaliwa na utakamata maboya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…