Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Ukiangalia hii ramani utagundua mwanadamu ni mtu mmoja mbinafsi sana na mkatili
Angalia eneo la israel ambalo anatuhumiwa na eneo ambalo liko chini ya warabu
Kuna member amewatuhumu wayahudi wanaroho mbaya ila ukienda israel waislamu wamejaa na misikiti ipo ila nenda palestina
Moja ya propaganda kubwa sana inajengwa ni kwamba wayahudi ni watu wabaya ila ukienda israel utashangaa sana
Mfano ukienda israel kuna misikiti mingi sana na waislamu wanasali free bila usumbufu na kuna waislamu wanatumia israel passport
Waislamu waishia israel ni watu million 1.85 (million moja na laki 8 na elfu 50 na ni karibia asilimia 18.6 ya population ya israel-israel wanamapungufu ila wanatakiwa kupongezwa kuruhusu uwepo wa waislamu nchini kwao
Ila sasa nenda palestina nikimanisha yale maeneo ambayo kuna warabu wengi westbank na gaza ni ngumu sana kumkuta myahudi au sinagogi walishafanyiwa fujo wakaondoka ila wao ndo wakwanza kulalamika wanaonewa