Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Tutajie tu Mkuu tutashukuru sana!!!Umejaribu ku-google umewakosa?
Hiki ni kitu cha kuuliza kweli?

Nimeekuuliza swali naomba unijibuUmejaribu ku-google umewakosa?
Hiki ni kitu cha kuuliza kweli?
Hapakuwa na Rais, maana siyo kila nchi zina mfumo wa Marais.Tutajie tu Mkuu tutashukuru sana!!!
Akikujibu nijulishe na Mimi!!!Nimeekuuliza swali naomba unijibu
Ukiangalia hii ramani utagundua mwanadamu ni mtu mmoja mbinafsi sana na mkatili
Angalia eneo la israel ambalo anatuhumiwa na eneo ambalo liko chini ya warabu
View attachment 3676512
Kuna member amewatuhumu wayahudi wanaroho mbaya ila ukienda israel waislamu wamejaa na misikiti ipo ila nenda palestina
Moja ya propaganda kubwa sana inajengwa ni kwamba wayahudi ni watu wabaya ila ukienda israel utashangaa sana
Mfano ukienda israel kuna misikiti mingi sana na waislamu wanasali free bila usumbufu na kuna waislamu wanatumia israel passport
Waislamu waishia israel ni watu million 1.85 (million moja na laki 8 na elfu 50 na ni karibia asilimia 18.6 ya population ya israel-israel wanamapungufu ila wanatakiwa kupongezwa kuruhusu uwepo wa waislamu nchini kwao
Ila sasa nenda palestina nikimanisha yale maeneo ambayo kuna warabu wengi westbank na gaza ni ngumu sana kumkuta myahudi au sinagogi walishafanyiwa fujo wakaondoka ila wao ndo wakwanza kulalamika wanaonewa
Israel kama Israel hana mpango wowote , shida ni MarekaniUkiangalia hii ramani utagundua mwanadamu ni mtu mmoja mbinafsi sana na mkatili
Angalia eneo la israel ambalo anatuhumiwa na eneo ambalo liko chini ya warabu
View attachment 3676512
Kuna member amewatuhumu wayahudi wanaroho mbaya ila ukienda israel waislamu wamejaa na misikiti ipo ila nenda palestina
Moja ya propaganda kubwa sana inajengwa ni kwamba wayahudi ni watu wabaya ila ukienda israel utashangaa sana
Mfano ukienda israel kuna misikiti mingi sana na waislamu wanasali free bila usumbufu na kuna waislamu wanatumia israel passport
Waislamu waishia israel ni watu million 1.85 (million moja na laki 8 na elfu 50 na ni karibia asilimia 18.6 ya population ya israel-israel wanamapungufu ila wanatakiwa kupongezwa kuruhusu uwepo wa waislamu nchini kwao
Ila sasa nenda palestina nikimanisha yale maeneo ambayo kuna warabu wengi westbank na gaza ni ngumu sana kumkuta myahudi au sinagogi walishafanyiwa fujo wakaondoka ila wao ndo wakwanza kulalamika wanaonewa
Umeulizwa Rais wewe unatuletea viongozi wa moo na dini!! Tupe sasa jina la Mfalme wa kwanza!!Hapakuwa na Rais, maana siyo kila nchi zina mfumo wa Marais.
Ila uongozi ulikuwepo.
View attachment 3676531
Hao wengine waliochaguliwa na british wanakuaje legitimate president au king wa palestinaHapakuwa na Rais, maana siyo kila nchi zina mfumo wa Marais.
Ila uongozi ulikuwepo.
View attachment 3676531
Huyo wa kwanza kachaguliwa na british unajiuliza kiongozi wa palestina anachaguliwaje direct na british haya ni moja ya maajabu ya wanaowatetea wapelistinaUmeulizwa Rais wewe unatuletea viongozi wa moo na dini!! Tupe sasa jina la Mfalme wa kwanza!!
Na Kama atakuwa ni Mfalme tuwekee na pesa Yao walikuwa wanatumia sarafu gani? Je ilikuwa inaitwa Dinar au Rupia au dollar?
Nonsense,Ukiangalia hii ramani utagundua mwanadamu ni mtu mmoja mbinafsi sana na mkatili
Angalia eneo la israel ambalo anatuhumiwa na eneo ambalo liko chini ya warabu
View attachment 3676512
Kuna member amewatuhumu wayahudi wanaroho mbaya ila ukienda israel waislamu wamejaa na misikiti ipo ila nenda palestina
Moja ya propaganda kubwa sana inajengwa ni kwamba wayahudi ni watu wabaya ila ukienda israel utashangaa sana
Mfano ukienda israel kuna misikiti mingi sana na waislamu wanasali free bila usumbufu na kuna waislamu wanatumia israel passport
Waislamu waishia israel ni watu million 1.85 (million moja na laki 8 na elfu 50 na ni karibia asilimia 18.6 ya population ya israel-israel wanamapungufu ila wanatakiwa kupongezwa kuruhusu uwepo wa waislamu nchini kwao
Ila sasa nenda palestina nikimanisha yale maeneo ambayo kuna warabu wengi westbank na gaza ni ngumu sana kumkuta myahudi au sinagogi walishafanyiwa fujo wakaondoka ila wao ndo wakwanza kulalamika wanaonewa
Waisrael wa biblia ndio wapalestina wa sasa, Waisrael unaowaona Leo (Ashkenazi) ni wayahudi wa kusilimu sio wa kuzaliwa. Proved by sayansi Hadi cultureUkikaa chini kama wewe ni msomaji wa biblia,kasome vitabu viwili sura nzima vya Samuel na wafalme ,utapata clear picture bila bias Dola ya Israel... Ilikuwa ime extend hadi ashuru hadi dameski(Syria).. smea ile kupigana vita vya mara kwa mara na kwenda uhamishoni(babeli) na kwenda utumwani (misri) vimeathiri eneo la kijografia la Israel
Tanzania haikua na Raisi kabla ya 1961 je wakija wairan Leo na kuchukua nchi Yao wana haki ya kukufukuza na kufukuza watanzania wote?Ntajie marais wa palestina kabla ya mwaka 1948
Kwahio Wajerumani walikua sahihi kuwaua kina mkwawa, mangi meli etc na hatutakiwi darasani kuwasoma sababu walipigania Uhuru wao sio?Na hao hamas ambao kila uchwao wanashambulia israel
Kwa hiyo unataka israel ishambuliwe ikae kimya
Alafu angalia kwenye hiyo raman mbona kila jambo limejieleza wazi
Kulikuwa na machief wa kikabilaTanzania haikua na Raisi kabla ya 1961 je wakija wairan Leo na kuchukua nchi Yao wana haki ya kukufukuza na kufukuza watanzania wote?
Hata palestina pia kulikua na machief, kama nchi yoyote ile iliokua Chini ya ukoloniKulikuwa na machief wa kikabila
Huko kwenye misikiti yenu mnadanywa sana!!!Mbona Israel hakuna Makanisa wala wafuasi wa Yesu?
Inakuwaje huoni hilo ni tatizo, upo bize kukomaa na Waislamu?
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako kabla ya kuangalia la mwenzako
Mwaka 5 warumi walimuondoa herode na kumchagua pilato kama mtawalaKwahio Wajerumani walikua sahihi kuwaua kina mkwawa, mangi meli etc na hatutakiwi darasani kuwasoma sababu walipigania Uhuru wao sio?