Ukiangalia hii ramani lazima utawasupport Israel wako sahihi

Ukiangalia hii ramani lazima utawasupport Israel wako sahihi

Walikataa mpango wa aman wakaamua kutimia mtutu wa bunduki sasa unashindanaje na mtu ambaye huna uwezo wa kupigana naye
wanahistori mashughuli kadhaa wamepoint comment hiyo uliyoweka kwamba ni uzushu na ulaghai , unakubaliana na hilo? kwamba unajenga hoja zako kwenye taarifa za uongo?
 
Hawa wakina arafat waliozaliwa cairo ndo useme ni sawa na wayahudi
Mwarabu na israelite hawana tofauti yoyote kimuonekano, as I told you kuna community za kiyahudi hapo palestina zipo maelfu ya miaka kama Samaritan, hawa vizazi vyao vina matahira wengi kwa kuoana ndugu, hawaoi nje ya familia zao,

PA-4032870-1024x687.jpg

They look like this.

Pia kuna tafiti kibao za kisayansi ambazo zimefanywa kwa kufukua makaburi ya kale kupima DNA za Wayahudi wa Zamani na Wapalestina wa sasa

Hili ni jedwali la tafiti
MiroCyo-Genetic-distance-slide-1.webp

As you can see there Samaritan wapo close kabisa na wayahudi wa Zamani Asilimia 94 mfanano wao, Same kwa Wapalestina wote wakristo na Waisilamu Asilimia 80

So hivi vitu si vya kufikirika ni vitu vina uthibitisho wa kisayansi na kuprove zaidi ni kosa Kisheria kupima DNA Israel, wanajijua pale sio kwao wamevamia so hawamtaki raia wao wa kawaida nao wajijue na hata Ashkenazi Ambao wapo nje ya Israel DNA zao zinakua za mchongo Asilimia ndogo sana inakua ya Israel ya kale
 
Walikataa mpango wa aman wakaamua kutimia mtutu wa bunduki sasa unashindanaje na mtu ambaye huna uwezo wa kupigana naye
Acha uongo mkuu ona hata aibu, wapalestina wamewakaribisha kwa amani alioanza kuua mwenzake ni hao wazungu na wapalestina siku zote wamefuata hio mipango ya Amani, last prime minister wa Israel aliekaa na Wapalestina na kuamua kuwa na Nchi mbili Yitzhak Rabin aliuliwa 1995 na waisrael wenzake.

West bank siku zote imekua na amani hawapigani nini kinawapata? Wanauliwa kila siku na maeneo Yao yanachukuliwa kinguvu.
 
wanahistori mashughuli kadhaa wamepoint comment hiyo uliyoweka kwamba ni uzushu na ulaghai , unakubaliana na hilo? kwamba unajenga hoja zako kwenye taarifa za uongo?
Uzushi upi nawakati ni uhalisia mwaka 1947 wapalestina walikataa mpango wa mataifa mawili matokeo yake UN ikashindwa kuwatambua huku wenzao wakakubali wakatambuliwa mbona iko wazi
Na mwaka 1948 israel ilivyotambuliwa na UN na wapalestina wakaanzisha kitu kinaitwa al nakba mpaka leo hii inaadhimishwa mwezi wa 4 kila mwaka

Mwaka 2000 arafat alikataa 2 state solution na wakati huo gaza ilikuwa chini ya israel aliyeichukua wakati wa vita ya mwaka 1967
 
Acha uongo mkuu ona hata aibu, wapalestina wamewakaribisha kwa amani alioanza kuua mwenzake ni hao wazungu na wapalestina siku zote wamefuata hio mipango ya Amani, last prime minister wa Israel aliekaa na Wapalestina na kuamua kuwa na Nchi mbili Yitzhak Rabin aliuliwa 1995 na waisrael wenzake.

West bank siku zote imekua na amani hawapigani nini kinawapata? Wanauliwa kila siku na maeneo Yao yanachukuliwa kinguvu.
Wapalestina walikataa partition ya mwaka 1947 na iko wazi wewe unaongelea mambo ya 1995

Mwaka 2000 arafat alikataa 2 state solution aka walk away na kumbuka mwaka 2000 gaza ilikuwa chini ya israel
 
Uzushi upi nawakati ni uhalisia mwaka 1947 wapalestina walikataa mpango wa mataifa mawili matokeo yake UN ikashindwa kuwatambua huku wenzao wakakubali wakatambuliwa mbona iko wazi
Na mwaka 1948 israel ilivyotambuliwa na UN na wapalestina wakaanzisha kitu kinaitwa al nakba mpaka leo hii inaadhimishwa mwezi wa 4 kila mwaka

Mwaka 2000 arafat alikataa 2 state solution na wakati huo gaza ilikuwa chini ya israel aliyeichukua wakati wa vita ya mwaka 1967
wewe bado
 
wewe bado
Kasome kilichotokea mwaka 1947 na 2000 kwanini usikwe akili na historia ipo wazi

Warabu hawana akili za kufikiria mbali ndo kinachowaponza mwaka 1947 unapewa proposal unakataa mwanzako anapewa koti UN wewe unaenda kutumia silaha alafu baadae unalalamika unaonewa
Kwanini usichukue kwanza kiti UN ndo mambo mengine yaendelee
 
Leo ukutw hao upareni kwenu ,unaambia hili sio eneo lako ,ni eneo letu tulikuwepo hapa miaka 3,000 iliyopita tukaondoka.
Hilo ni eneo la wamasai ngoja siku wakifurumsha ndio watajua pa kwenda
 
Wapalestina walikataa partition ya mwaka 1947 na iko wazi wewe unaongelea mambo ya 1995

Mwaka 2000 arafat alikataa 2 state solution aka walk away na kumbuka mwaka 2000 gaza ilikuwa chini ya israel
Ukiandika hivi ni rahisi kudanganya wajinga wajinga wasiojua (pengine hata na wewe hujui umedanganywa mahali)

Wapalestina hata kabla ya Naqba 1947 hawajawahi kukataa kuishi na waisrael, kabla ya hapo kulikua na maeneo kibao walipewa waisrael kuishi.

Kuna two state solution mbili,
1. Two state ya kiboya ambayo ipo proposed na waisrael na ambayo hata hawaifati kila siku Wana expand.

2. Two state ambayo imekua proposed na UN na inatambulika Dunia nzima ambayo waziri mkuu wa Israel alikubaliana nayo akauliwa.

As of now Nchi pekee ambazo zipo against two state solution ni 10 including USA, Israel na vibaraka wao ila overwhelming ya Dunia nzima wana support

Hapa Soma Historia nzima ya two state solution
 
Kasome kilichotokea mwaka 1947 na 2000 kwanini usikwe akili na historia ipo wazi

Warabu hawana akili za kufikiria mbali ndo kinachowaponza mwaka 1947 unapewa proposal unakataa mwanzako anapewa koti UN wewe unaenda kutumia silaha alafu baadae unalalamika unaonewa
Kwanini usichukue kwanza kiti UN ndo mambo mengine yaendelee
wewe bado kwenye hilo
 
Ukiangalia hii ramani utagundua mwanadamu ni mtu mmoja mbinafsi sana na mkatili
Angalia eneo la israel ambalo anatuhumiwa na eneo ambalo liko chini ya warabu
View attachment 3676512

Kuna member amewatuhumu wayahudi wanaroho mbaya ila ukienda israel waislamu wamejaa na misikiti ipo ila nenda palestina

Moja ya propaganda kubwa sana inajengwa ni kwamba wayahudi ni watu wabaya ila ukienda israel utashangaa sana

Mfano ukienda israel kuna misikiti mingi sana na waislamu wanasali free bila usumbufu na kuna waislamu wanatumia israel passport
Waislamu waishia israel ni watu million 1.85 (million moja na laki 8 na elfu 50 na ni karibia asilimia 18.6 ya population ya israel-israel wanamapungufu ila wanatakiwa kupongezwa kuruhusu uwepo wa waislamu nchini kwao

Ila sasa nenda palestina nikimanisha yale maeneo ambayo kuna warabu wengi westbank na gaza ni ngumu sana kumkuta myahudi au sinagogi walishafanyiwa fujo wakaondoka ila wao ndo wakwanza kulalamika wanaonewa
Hakuna binadamu mwenye entitlement mentality ya kipuuzi kama Myahudi.
 
Acha porojo wewe ,waliishije kabla ya mwaka 1948 ? waislamu wangapi?..Uliona wapi watu wapakana halafu wana asili tofauti kabisa...Israel jina la mtu au nchi ,na hiyo nchi jina limeanza 1948.
Kitabu chako kinasemaje juu Israeli na mayahudi? Je, walianza 1948?
 
Back
Top Bottom