Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Hiyo ni raman na ndo iko hivyo hayo mengine ni yapiEndelea tu na ndoto zako za siku ukiwa Rais wa Tanzania. Hayo mengine huyajui.
Hata wakati wa tawala za kisalmu za caliphate wayahudi walikuwa wanaishi kwenye hayo maeneo na across arab worldAcha porojo wewe ,waliishije kabla ya mwaka 1948 ? waislamu wangapi?..Uliona wapi watu wapakana halafu wana asili tofauti kabisa...Israel jina la mtu au nchi ,na hiyo nchi jina limeanza 1948.
Hiyo project haijawahi kutekelezeka hata wakati wa daudi na hawataweza inabaki kuwa ni ahadi tu ila haiwezi kutekelezekaKwA biblia eneo walilopewa ni nusu ya eneo lote hapo. Project yao ya Great Israel iko sahihi.
Hayo maeneo baada ya mwaka 1948 ,harakati za wazayuni ndizo zilileta chokochoko na walianza mpango wa kuwaondoa palestina ..Leo ukutw hao upareni kwenu ,unaambia hili sio eneo lako ,ni eneo letu tulikuwepo hapa miaka 3,000 iliyopita tukaondoka.Hata wakati wa tawala za kisalmu za caliphate wayahudi walikuwa wanaishi kwenye hayo maeneo na across arab world
Kila siku nawaambia watu, wewe jamaa huna AKILI TIMAMU.Ukiangalia hii ramani utagundua mwanadamu ni mtu mmoja mbinafsi sana na mkatili
Angalia eneo la israel ambalo anatuhumiwa na eneo ambalo liko chini ya warabu
View attachment 3676512
Kuna member amewatuhumu wayahudi wanaroho mbaya ila ukienda israel waislamu wamejaa na misikiti ipo ila nenda palestina
Moja ya propaganda kubwa sana inajengwa ni kwamba wayahudi ni watu wabaya ila ukienda israel utashangaa sana
Mfano ukienda israel kuna misikiti mingi sana na waislamu wanasali free bila usumbufu na kuna waislamu wanatumia israel passport ni wengi sana zaidi ya watu million 1 israel ni waislamu
Ila sasa nenda palestina nikimanisha yale maeneo ambayo kuna warabu wengi westbank na gaza ni ngumu sana kumkuta myahudi au sinagogi walishafanyiwa fujo wakaondoka
Ukiangalia hii ramani utagundua mwanadamu ni mtu mmoja mbinafsi sana na mkatili
Angalia eneo la israel ambalo anatuhumiwa na eneo ambalo liko chini ya warabu
View attachment 3676512
Kuna member amewatuhumu wayahudi wanaroho mbaya ila ukienda israel waislamu wamejaa na misikiti ipo ila nenda palestina
Moja ya propaganda kubwa sana inajengwa ni kwamba wayahudi ni watu wabaya ila ukienda israel utashangaa sana
Mfano ukienda israel kuna misikiti mingi sana na waislamu wanasali free bila usumbufu na kuna waislamu wanatumia israel passport ni wengi sana zaidi ya watu million 1 israel ni waislamu
Ila sasa nenda palestina nikimanisha yale maeneo ambayo kuna warabu wengi westbank na gaza ni ngumu sana kumkuta myahudi au sinagogi walishafanyiwa fujo wakaondoka
RAmani ndo iko hivyo uongo au ukweliKila siku nawaambia watu, wewe jamaa huna AKILI TIMAMU.
Na hao hamas ambao kila uchwao wanashambulia israelHayo maeneo baada ya mwaka 1948 ,harakati za wazayuni ndizo zilileta chokochoko na walianza mpango wa kuwaondoa palestina ..Leo ukutw hao upareni kwenu ,unaambia hili sio eneo lako ,ni eneo letu tulikuwepo hapa miaka 3,000 iliyopita tukaondoka.
Unaanzaje ,au Unafikiria hapo kilimanjaro miaka 1,000 nyuma kulikuwa na wapare pamoja na wachaga? hata akija nyani akikuambia haya yalikuwa makazi yetu utakataa ?.
Mkishapigana vita tu basi hakuna usalama, wapalestina wamefungwa kwenye magereza huko tangu miaka ya uanzishwaji wa zionist movement ,unafikiria kutakuwa na amani tena hapo.
Hilo eneo lote linalokaliwa na Wazayuni, wanaojiita Waisrael ni PALESTINA.RAmani ndo iko hivyo uongo au ukweli
Endelea kuteseka na Israel Taifa Teule, nchi ya kidemokrasia haina ubaguzi Israel kuna waarabu million 2 wana uhuru wa kuabudu!!Acha porojo wewe ,waliishije kabla ya mwaka 1948 ? waislamu wangapi?..Uliona wapi watu wapakana halafu wana asili tofauti kabisa...Israel jina la mtu au nchi ,na hiyo nchi jina limeanza 1948.
Ntajie marais wa palestina kabla ya mwaka 1948Hilo eneo lote linalokalowa na Wazayuni, wanaojiita Waisrael ni PALESTINA.
Hao wahuni ni Wazungu waliotoka Ulaya wakapelekwa hapo wakapokelewa na wamewageuka Palestina.
Hao Wahuni siyo Waisrael wa Biblia.
View attachment 3676524
Wacha weeee .. ukilewa visungura ndo unasema hivi?Hilo eneo lote linalokalowa na Wazayuni, wanaojiita Waisrael ni PALESTINA.
Hao wahuni ni Wazungu waliotoka Ulaya wakapelekwa hapo wakapokelewa na wamewageuka Palestina.
Hao Wahuni siyo Waisrael wa Biblia.
View attachment 3676524
Akikutajia nitagNtajie marais wa palestina kabla ya mwaka 1948
Umejaribu ku-google umewakosa?Ntajie marais wa palestina kabla ya mwaka 1948
Umekaririshwa vibaya sana nawe bila kuchunguza umetaka is Matango-Pori mpaka unaita Wapalestina hata hawapo!!Hayo maeneo baada ya mwaka 1948 ,harakati za wazayuni ndizo zilileta chokochoko na walianza mpango wa kuwaondoa palestina ..Leo ukutw hao upareni kwenu ,unaambia hili sio eneo lako ,ni eneo letu tulikuwepo hapa miaka 3,000 iliyopita tukaondoka.