We bwana usitukumbushe machungu mana star wetu alipokelewa na P didy huko merikani ,🤣🤣Mbona rais wa wasafi WCB, diamond platnumz amepokelewa kwa heshima nchini marekani na barani ulaya 😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
😃😃😃😃😃 Ni hatari lakini ni salamaWe bwana usitukumbushe machungu mana star wetu alipokelewa na P didy huko merikani ,🤣🤣
hajuhi - hajuiHajuhi kizungu vzr, Hana CV ya kibabe, amejipa udokta wa mchongo, hapo tu wazungu wakajua hapa kuna kilaza tu, udokta angekuwa amepewa na chuo kama Harvard, sawa! Sasa unapewa na UD, ambayo mkuu wake unamteua wewe!
Nyerere alikuwa na ma PHD kibao ya heshima, lakini hakujihita Dokta!
Samia hajawahi fanya state visit Marekani. uwe unaelewa vitu kabla ya kuanzisha uzi.Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto?
Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa...
Sio kweli.Marekani huwa Hana muda na viongozi wa manchi ya kijamaa.
Tofautisha kuzurula na kiutendajiRais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto?
Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa
Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya kimataifa vimempa airtime na headline yeye na Biden
Nashangaa rais Samia yeye hapati kabisa international coverage kabisa, sio alijazeera,sio cnn, sio bbc tutamuona akiwa kwenye ziara zake
Ziara ya Ruto ni funzo kubwa kwa machawa.....Yaani sijui ni kwasababu maziara yetu hayana tija ndo maana hata hawashughuliki?...Yaani wetu ni kama wamempuuza hivi...
Mkuu 'Kimsboy', wakati mwingine tuwe tunatumia akili zetu kidogo. Hivi wewe kweli huoni kinachotokea kwenye ziara hiyo?Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto?
Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa
Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya kimataifa vimempa airtime na headline yeye na Biden
Nashangaa rais Samia yeye hapati kabisa international coverage kabisa, sio alijazeera,sio cnn, sio bbc tutamuona akiwa kwenye ziara zake
Ziara ya Ruto ni funzo kubwa kwa machawa.....Yaani sijui ni kwasababu maziara yetu hayana tija ndo maana hata hawashughuliki?...Yaani wetu ni kama wamempuuza hivi...
DILIRais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto?
Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa
Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya kimataifa vimempa airtime na headline yeye na Biden
Nashangaa rais Samia yeye hapati kabisa international coverage kabisa, sio alijazeera,sio cnn, sio bbc tutamuona akiwa kwenye ziara zake
Ziara ya Ruto ni funzo kubwa kwa machawa. Yaani sijui ni kwasababu maziara yetu hayana tija ndo maana hata hawashughuliki?...Yaani wetu ni kama wamempuuza hivi.
Lini mtazindua Royal tour tena ili mtupige tenaKuna tofauti ya kualikwa (mwaliko) na
Ziara.
1). Ruto kapewa mwaliko
2). Samia huwa anakwenda kwa ziara sio mwaliko.