thadeud malingumu
Senior Member
- Dec 23, 2013
- 123
- 220
Anadanganywa apeleke askari Haiti wakaone Kivumbi😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inapohusu geopolitcs na global economy wewe hauna unachokijua ndicho ambacho nimekiona kwakoHatuwezi kuelewana, tuna standards tofauti.
Wewe ndiye mshamba ambaye unaona state visit white house kipaumbele.
Swali au kajiswali? Nimekupa jibu la kijiswali bado umeshupaza fuvu
Nilijuaga Kiranga ni mtu smart kumbe una hoja za kijinga na kipuuuzi sana
Uko mwepesi sana kwenye geopolitical issues
😄😄😃😃😃😃😃 Ni hatari lakini ni salama
Hatuwezi kuelewana.Inapohusu geopolitcs na global economy wewe hauna unachokijua ndicho ambacho nimekiona kwako
Hizi mambo za global economy na geopolitical zimekupitia kushotoSihitaji mtu yeyote anione mimi smart. I don't need your validation.
Hatuwezi kuelewana, tuna standards tofauti.
Wewe ni kama mtu aliyekaa karibu na choo kwa miaka mingi, akazoea ile harufubya choo. Halafu mimi nakuja kutoka sehemu tofauti, nimezoea hewa safi, nakwambia hapa ulipo pananuka harufu chafu ya choo. Halafu wewe umezoea hiyo harufu hata huelewi nakwambia nini. Unaona nakutukana.
Nakupeleka ignore list. Unanijazia shombo na harufu chafu ya choo tu.
Kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.
HahahahahaaHatuwezi kuelewana.
Tuna standards tofauti sana.
Nakupeleka ignore list.
Kuanzia hapa sitaona post yako yoyote.
Hapo wanamtongoza ili akubali waweke kambi hapo Kenya. Mzungu ukiona anajifanya anamheshimu kiongozi wa kiafrika jua anawindwa. Umesahau bwana Membe alivyotumiwa farasi maalum wamkokote UK.
Marekani naona anatafuta mahali pa kuweka uwepo wake akapambane na influience ya Warusi na Wachina Afrika.
Fuatilia "Youtube" ziara ya Hayati Mwl. Nyerere Marekani wakati Hayati JFK akiwa Rais wa Marekani miaka ya mwanzoni mwanzoni mwa 1960, halafu ndo urudi hapa.Marekani huwa Hana muda na viongozi wa manchi ya kijamaa.
🤣🤣🤣🤣🤣Samia alipokelewa na Mange 😀.
Unaleta story za mwaka 47 hapa boss.Fuatilia "Youtube" ziara ya Hayati Mwl. Nyerere Marekani wakati Hayati JFK akiwa Rais wa Marekani miaka ya mwanzoni mwanzoni mwa 1960, halafu ndo urudi hapa.
Suala mama yenu hana mvuto ndani wala nje ya nchi, ndiyo maana akienda Marekani sana sana ataishia kuonana na mawaziri au Makamu basi.
Ujinga na kuelekea kwenye upumbavu unaanzia hapa.sera yake ya kuchagua Kiswahili kama lugha ya kufundishia tangu primary
Sasa kama unajuwa kiingereza kama unavyojigamba hapa, huyo Nyerere alikuwa wapi asikuzuie kuijuwa lugha hiyo?Wewe umeniattack mimi bila sababu za msingi, kama unataka tufanye mazungumzo kwa Kiingereza tunaweza kuanza hata sasa kwenye huu mjadala
Lakini ukweli unaujua jinsi hii lugha ya Kiingereza inavyowapiga chenga mamilioni ya Watanzania. Hizi lawama lazima ziende kwake kwa sera yake ya kuchagua Kiswahili kama lugha ya kufundishia tangu primary
Kweli kabisa[emoji23]Hajuhi kizungu vzr, Hana CV ya kibabe, amejipa udokta wa mchongo, hapo tu wazungu wakajua hapa kuna kilaza tu, udokta angekuwa amepewa na chuo kama Harvard, sawa!
Sasa unapewa na UD, ambayo mkuu wake unamteua wewe!
Nyerere alikuwa na ma PHD kibao ya heshima, lakini hakujihita Dokta!
Mtafutiwe mkoloni mara mbili wakati keshauza nchi kila rasilimali kauza kwa mikataba ya kibwege?Mkuu 'Kimsboy', wakati mwingine tuwe tunatumia akili zetu kidogo. Hivi wewe kweli huoni kinachotokea kwenye ziara hiyo?
Unataka uambiwe na nani ndiyo ujuwe kuwa makoloni mapya yanatengenezwa kaarne hii hii tuliyomo!
Sasa unamhimiza na huyu wetu akatutafutie mkoloni, kweli?
Na bahati mbaya tuliyo nayo, kajipitishapitisha lakini wakubwa wakadharau, wakijua heshima tuliyowahi kuwa nayo enzi zilizopita.
Sikiliza, usimhimize sana huyu, sisi wakoloni wetu ni gradi B, toka huko Mashariki ya Kati. Kwa hiyo tulia hapohapo ulipo, utajuwa karibuni wewe mkoloni wako ni nani.
Nasikitika sana kwa nchi hii sasa kuwa na watu wa mawazo ya aina hii yako.
[emoji23][emoji23]Sababu za kuheshimika Kwa ruto nchini marekani ni zifuatazo 1.william ruto ni rais aliyechaguliwa na wananchi lakini yule mwingine alilithishwa urithi na babu yake.
2.william ruto ana PhD kutoka chuo mahili tofauti na yule ana PhD ucharwa ya kukusanya mafaili.
3 Rais wa Kenya hakuuza ardhi za wamasai na hajawafukuza kwenye ardh Yao ya asili.
Kuhusu kiingereza mama samia anakijua tena kuliko hata ruto! Her accent is far better than that of ruto.Kweli kabisa![]()