Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Mi ninachojua inapohusu suala la economic diplomacy ni promotion of deeper economic cooperationKea sababu Samia mshamba, hajui anataka nini. Hana big picture agenda. Anaenda kusaini MoUs za biashara tu.
Any fool can do that.
What is Samia's big picture agenda?
Hujajibu swali hili.
Haya na wewe tuambie sasa kwa nini ziara za Samia hazina faida kwa taifa?