FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia..Hajuhi kizungu vzr, Hana CV ya kibabe, amejipa udokta wa mchongo, hapo tu wazungu wakajua hapa kuna kilaza tu, udokta angekuwa amepewa na chuo kama Harvard, sawa!
Sasa unapewa na UD, ambayo mkuu wake unamteua wewe!
Nyerere alikuwa na ma PHD kibao ya heshima, lakini hakujihita Dokta!
Wanaofuatilia yale mazungumzo. Yalikuwa kama maigizo ya shule ya msingi.Huko Tanzania hata hamjui mazungumzo hayo yalitokea mnajionea sawa tu.Watu wa mataifa gani walimdharau?
Nilifuatilia ule mkutano sikuona haya unayosemaWanaofuatilia yale mazungumzo. Yalikuwa kama maigizo ya shule ya msingi.Huko Tanzania hata hamjui mazungumzo hayo yalitokea mnajionea sawa tu.
Acha kuweka vi website vyako vya kimchongo vya Wa Nigeria matapeli hivyo.Top 7 Best Performing African Leaders in 2023 - The African Times/USA
TOP RANKINGS The Best Performing African Leaders ranking is an annual report of leaders who have performed better than their peers in the continent of Africa Across Africa's dynamic landscape, seven leaders rise above the challenges, fostering remarkable progress in their respective nations...theafricantimes.com
![]()
Top 10 African leaders with the best performance - Businessday NG
...governance that characterizes Africa's vibrant leadership tapestry. These leaders come from island paradises and resource-rich economies.businessday.ng
Unamaanisha nini?Perfrmance
Hukuona kwa sababu Samia alishindwa ku deliver.Nilifuatilia ule mkutano sikuona haya unayosema
Huu ni mtazamo wako mzee babaHukuona kwa sababu Samia alishindwa ku deliver.
Angekuwa ame deliver ungekuwapo uzi tukamzungumzia Samia kama tunavyomzungumzia Ruto hapa.
Hapana, hiyo ndiyo fact.Huu ni mtazamo wako mzee baba
Tofautisha aina ya ziara ya Samia na Ruto na mataifa waliyotembeleaHapana, hiyo ndiyo fact.
The fact kwamba Watanzania tuko hapa tunazungumzia ziara ya Ruto US (State Visit)na Samia katoka Ufaransa hata hatujazungumzia ziara yake kafanya nini tayari inatuambia Samia si tu kakosa influence kimataifa, bali hata Watanzania hawaelewi anafanya nini na wanazipotezea tu safari zake huko nje.
That is my point.Tofautisha aina ya ziara ya Samia na Ruto na mataifa waliyotembelea
Ila kwa kawaida ukiona Marekani anakusifia, basi kuna kitu anataka toka kwako na atakichukua siku si nyingi. Ndiyo kama ilivyokuwa wakati wa JK.Rais samia kwanini pamoja na ziara zote huko hapewi kipaumbele kama Ruto?
Ukiangalia jinsi Ruto alivyopokelewa kwa heshima marekani utashangaa
Ruto kapokelewa kwa heshima sana, vyombo vyote vya kimataifa vimempa airtime na headline yeye na Biden
Nashangaa rais Samia yeye hapati kabisa international coverage kabisa, sio alijazeera,sio cnn, sio bbc tutamuona akiwa kwenye ziara zake
Ziara ya Ruto ni funzo kubwa kwa machawa. Yaani sijui ni kwasababu maziara yetu hayana tija ndo maana hata hawashughuliki?...Yaani wetu ni kama wamempuuza hivi.
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sanaThat is my point.
Samia anapuyanga kama mjumbe kwenda kuhudhuria kwenye mikutano tu.
Just another face in the crowd.
Ruto anaenda State Visit White House, kwa mualiko kupiga deal kubwa na kuongea geopolitics one on one na Biden.
Ndiyo maana watu wanauliza, mbona Ruto anapewa kipaumbele sana kuliko Samia?
Huelewi nini?
Mbona Samia alivyoenda China, India, Turkey, Norway alifanyiwa state visit?Samia anapuyanga kama mjumbe kwenda kuhudhuria kwenye mikutano tu.
Just another face in the crowd
Si suala la State Visit White House tu.Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana
Ni maraisi wangapi wa Africa hawajafanya state visit white house?
Unazungumziaje maraisi hao? Je, hawaheshimiki na hawapewi kipaumbele?
Hizo nchi dikteta yoyote mwenye madini anaenda. Ndiyo maana hujasikia watu wakistuka wala kuongelea.Mbona Samia alivyoenda China, India, Turkey, Norway alifanyiwa state visit?
Kama Samia hana ajenda kubwa basi tunakubaliana pia kuwa maraisi wa mataifa mengine ambao hawajapata state visit hapo Marekani hawana ajenda kubwa?Si suala la State Visit White House tu.
State Visit US si kigezo, ila mtu hupewi State Visit US kuuza sura tu.
State Visit White House anapewa mtu mwenye ajenda kubwa. Samia hana ajenda kubwa.
Nimekuambia Ruto anaongoza mazungumzo ya nchi za Africa kuachana na kutumia dollar ya US katika intra Africa trade. Hiyo ajenda kubwa.
Nimekuuliza Samia anaongoza ajenda kubwa gani duniani au hata Africa, moja tu, hujajibu.
Naona kwa sasa umeishiwa hoja. Umesema kuwa Samia anaenda tu kwenye mikutano kama mshirikiHizo nchi dikteta yoyote mwenye madini anaenda. Ndiyo maana hujasikia watu wakistuka wala kuongelea.
Huko duniani ukitoka Tanzania watu hata hawajui Samia kaenda wapi.
Hata Watanzania wenyewe wamepoteza interest. Hawaelewi Samia anafanya nini. Hata messaging tu ku justify safari kashindwa.
Ruto kaenda Marekani dunia nzima inamsikiliza.
Mpaka Watanzania wanauliza, mbona Ruto anapewa kipaumbele kuliko Samia?
Samia bonge la mshamba, ataishia kucheza na kina Makonda tu, hajui ku lobby big deals. Ataishia kuzunguka kisiasa tu kwa kofia ya urais.
Kwa nini unawaleta marais wengine katika mjadala wa kumlinganisha Samia na Ruto?Kama Samia hana ajenda kubwa basi tunakubaliana pia kuwa maraisi wa mataifa mengine ambao hawajapata state visit hapo Marekani hawana ajenda kubwa?
Au nitakuwa nakosea?
Kipaumbele gani mzee cha state visit white house au?Kwa nini unawaleta marais wengine katika mjadala wa kumlinganisha Samia na Ruto?
Mpaka sasa hujalielewa swali la kwanza kabisa la mleta mada tu bado?
Hujaelewa alipouliza katika sentensi ya kwanza kabisa ya uzi huu kwa nini Ruto anapewa kipaumbele kuliko Samia?