Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Nimesema Ufaransa kaenda kama. mshiriki, rais anajiendea tu hata mikutano anayoweza kutuma watu.Naona kwa sasa umeishiwa hoja. Umesema kuwa Samia anaenda tu kwenye mikutano kama mshiriki
Kwenye hayo mataifa alienda kama mhudhuriaji au ilikuwa ni state visit?
Umeanza kujitoa ufahamu sasa
Ukiondoa WaTanzania na Waturuki, nani ka notice Samia kaenda Uturuki?
Ruto kaenda Marekani, dunia nzima imemuwekea macho.
Ndiyo maana mtoa mada anauliza kwa nini Ruto anapewa kipaumbele kuliko Samia?
Samia anasafiri sana, lakini safari zake hazionekani umuhimu wake.
Ruto amefanya safari moja tu, vyombo vya habari vya dunia nzima vumeipa coverage.
Ruto anajua ukitaka kumuua nyoka mpige kichwani. Ukitaka kula nguruwe chagua mnono. Sio unakwenda vinchi vya uchochoroni Uturuki huko na wenyewe wana njaa tu kama wewe wanatafuta jinsi ya kuondoka kwenye matatizo yao.
Unaweza kufananisha uchuminwa Uturuki na uchumi wa Marekani?
Mtoa mada hajaona hizo safari za Samia ni kupewa kipaumbele. Rightly so. Kaona safari ya Ruto White House ni center stage ya geopolitics.
Rightly so.