Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Itsss truee ukioa Goli kipa lazma anakuwa miyeyusho kama hivo , waliooa Goli kipa wamekusikiaMara nyingi hizo ni tabia za Wamama wa nyumbani!
Mtafutie kazi ya kufanya mf.mfungulie biashara hata ya genge angalau Kelele zitapungua.
Hata mimi signage umuhimu wa Nyashh , tena wenye ma nyashh utawaona wazuri wakiwa na nguoUkiangalia kwa umakini zaidi Nyashi haina maana sana, sema tu tamaa ndio zinatuponza, zaidi ya kuipiga piga makofi na kuishika shika kimtindo haina maana ingine ni bora ukatafuta ki potabo chenye tabia njema kuliko kutafuta liwowowo lisilo na heshima wala akili
Bad news to u also MPs wote ni wachawiThe only reason I want to try witchcraft, is to be sending bees to the parliament.
π in summation tuseme haina formulaMwanamke ni mwanamke tu, unaeza oa ambae hana nyash lkn tabia pasua kichwa ukabaki unapigana vita vya kimwili na kiroho kwa mpigo. binadamu hatujakamilika
AiseeNyash waachiwe vibonge tu
Kwenye ndoa Nyash ni kama furushi tupu, mambo ya vijana hayo umri wa balehe!!ππ Matako makubwa hajawahi acha mtu salama
Na hili ni tatizo kubwa sana! Sijui kwanini wanalifumbia macho..Vijana mnaruka baadhi ya hatua Katika maisha yenu na pia wengi wenu hamkupata mafunzo sahihi kutoka kwa Wazazi Jinsi ya kuishi na jamii au wenza wenu kila kukicha inakua kama Vita ya Iran vs USA bila sababu za msingi unakuta watu wana familia vizuri ila mazogo kama wapo sokoni sababu za hovyo hovyo tu..
Yeye anazungumzia tabia vs uzuri! Anasema ukiendekeza tu ''huyu yuko sexy na mrembo'' bila kuzingatia tabia basi utakwama. Na hili ndilo linalofanya ndoa nyingi zivunjike hasa kwa vijana wa leo.Mara nyingi hizo ni tabia za Wamama wa nyumbani!
Mtafutie kazi ya kufanya mf.mfungulie biashara hata ya genge angalau Kelele zitapungua.