MshangazKuna ile umetoka kzn na stress mishe zimebuma halafu unarudi hm mke kanuna / kelele nyingi . Hapo ndo utajua umuhimu wa kuangalia tabia kuliko Nyash. Unakuwa na battle nyengine nyumbani
Huyo sio wakuweka ndani ni kwa ajili ya kuchapia kwa juu anytimeNa huo ufupi, hilo tako limekaa kama jipu, bora angekuwa mrefu kdg.
Malaini
Haswaaa!Malaini
Yanavutia yakiwa ndani yakanga moko mda wote 😂Haswaaa!
Vijana mnaruka baadhi ya hatua Katika maisha yenu na pia wengi wenu hamkupata mafunzo sahihi kutoka kwa Wazazi Jinsi ya kuishi na jamii au wenza wenu kila kukicha inakua kama Vita ya Iran vs USA bila sababu za msingi unakuta watu wana familia vizuri ila mazogo kama wapo sokoni sababu za hovyo hovyo
Ukiona unaishi na huyo mwenza wako Kwa amani ni either mmoja wenu yupo kimaslahi or sio mwaminifu au uwezo wenu wa kufikiria ni mdogoVijana mnaruka baadhi ya hatua Katika maisha yenu na pia wengi wenu hamkupata mafunzo sahihi kutoka kwa Wazazi Jinsi ya kuishi na jamii au wenza wenu kila kukicha inakua kama Vita ya Iran vs USA bila sababu za msingi unakuta watu wana familia vizuri ila mazogo kama wapo sokoni sababu za hovyo hovyo tu..
Bc hapo unyama 🤝🤝Huyo sio wakuweka ndani ni kwa ajili ya kuchapia kwa juu anytime
Omba tu munguMda wa kusikiliza makelele ya mke au kubishana na mwanamke unatoa wapi mkuu ?
Kwangu Mimi makebo ni kipaombele,
pia nayapenda maanabelle,
wenye makeboless tupa kule,
nachotaka langu dushelele,
liingie makeboni milele.
Makuzi mazuri ya kumpendeza Mungu yanasaidia sana, hata kama mtu hatokuwa mkamilifu lakini kwa kiasi kikubwa hatokuwa na baadhi ya vijitabia!Hawajaona hilo tatizo ndio maana wanataka ushauri humu wakati hii mambo inaanzia katika makuzi ya majumbani huko kwanza wakue katika misingi ya Imani ya dini yeyote ile harafu ndio waanze harakati zao..
Sio kweli mmekua katika maisha mabovu sana yasio na malezi bora na pia kipato ndio changamoto kubwa kwenu mnaamini sana katika kipato na pia mliruka baadhi ya stage katika kukua kipindi cha kuruka nyoka mlikua vijijini huko mmekuja mjini baada ya kumaliza vyuo mmekutana na kazi hapo ndio mnafanya vitu mlivyoruka kwenye hatua za ukuaji mtu una familia unakesha bar kutakua na ndoa hapo si utakuja kupigiwa na kuja kulalamika tena humu..Ukiona unaishi na huyo mwenza wako Kwa amani ni either mmoja wenu yupo kimaslahi or sio mwaminifu au uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo
Nyash muhimu bwana....mnasemaga hivyo ila mnae da nje kusaka nyash🤣🤣🤣🤣Kuna ile umetoka kzn na stress mishe zimebuma halafu unarudi hm mke kanuna / kelele nyingi.
Hapo ndo utajua umuhimu wa kuangalia tabia kuliko Nyash.
Unakuwa na battle nyengine nyumbani
Mimi niliwahi kupanga Boocap cape town wakati nafanya kazi docks muda mwingi nilikua nashinda club za Long street saa nane usiku narudi home hiyo ni ratiba yangu nabadilisha club kufata pisi tu nilipoamua kuja Tanzania kuoa mtu niliekua nae kwa muda mrefu nilimwambia mimi Club za usiku basi maana alikua anashangaa akipiga mara nipo Club akajua huyu mzala maisha gani haya mpaka kesho nikienda club labda tuna vikao na jamaa tuliopiga nao Chuo au kazi na si kushinda huko bills ndio kama home ila mtu ukikutana nae leo ukimwambia hivyo vitu vina umri wake sio upo na ndoa na watoto unakesha bar huo ni ushamba atakushangaa wewe..Makuzi mazuri ya kumpendeza Mungu yanasaidia sana, hata kama mtu hatokuwa mkamilifu lakini kwa kiasi kikubwa hatokuwa na baadhi ya vijitabia!
Huna hela ndo tatizo.Kuna ile umetoka kzn na stress mishe zimebuma halafu unarudi hm mke kanuna / kelele nyingi.
Hapo ndo utajua umuhimu wa kuangalia tabia kuliko Nyash.
Unakuwa na battle nyengine nyumbani
Hakuna ndoa ambayo watu hawatapishana na mtu ukajiuliza leo nyumbani nakutana na balaa gani.Mimi niliwahi kupanga Boocap cape town wakati nafanya kazi docks muda mwingi nilikua nashinda club za Long street saa nane usiku narudi home hiyo ni ratiba yangu nabadilisha club kufata pisi tu nilipoamua kuja Tanzania kuoa mtu niliekua nae kwa muda mrefu nilimwambia mimi Club za usiku basi maana alikua anashangaa akipiga mara nipo Club akajua huyu mzala maisha gani haya mpaka kesho nikienda club labda tuna vikao na jamaa tuliopiga nao Chuo au kazi na si kushinda huko bills ndio kama home ila mtu ukikutana nae leo ukimwambia hivyo vitu vina umri wake sio upo na ndoa na watoto unakesha bar huo ni ushamba atakushangaa wewe..
Ukiwa na ndoa jaribu kuiweka karibu na kanisa au msikiti hata watoto watakua katika mazingira ya hofu unaona hata humu vijana wanavyojibu tu unaona wamekosa mafunzo kutoka kwa wazazi wawili..
Wanakuwa hawajafikia upeo wa kuoa au kuolewaNa hili ni tatizo kubwa sana! Sijui kwanini wanalifumbia macho..