Mimi niliwahi kupanga Boocap cape town wakati nafanya kazi docks muda mwingi nilikua nashinda club za Long street saa nane usiku narudi home hiyo ni ratiba yangu nabadilisha club kufata pisi tu nilipoamua kuja Tanzania kuoa mtu niliekua nae kwa muda mrefu nilimwambia mimi Club za usiku basi maana alikua anashangaa akipiga mara nipo Club akajua huyu mzala maisha gani haya mpaka kesho nikienda club labda tuna vikao na jamaa tuliopiga nao Chuo au kazi na si kushinda huko bills ndio kama home ila mtu ukikutana nae leo ukimwambia hivyo vitu vina umri wake sio upo na ndoa na watoto unakesha bar huo ni ushamba atakushangaa wewe..
Ukiwa na ndoa jaribu kuiweka karibu na kanisa au msikiti hata watoto watakua katika mazingira ya hofu unaona hata humu vijana wanavyojibu tu unaona wamekosa mafunzo kutoka kwa wazazi wawili..