Ukiangalia 'Nyash' kuliko tabia utakuja kuliona balaa lake

Huyo ni dizaini ya akina Kant Ombe alipenda nikamfanye hivyo kama mwenzie ambaye ameamua ajiite hivyo. Nikamkatalia ndo akaamua na kuiga jina langu. Humu ndani kuna mibwabwa mingi sana.
Ugonjwa wa akili mbaya sana , haoni tofauti ya majina kama lingekuwa jina lako Sheria za Jf inaruhusu majina kufanana au akili huna ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…