Ukiangalia 'Nyash' kuliko tabia utakuja kuliona balaa lake

Ukiangalia 'Nyash' kuliko tabia utakuja kuliona balaa lake

Kuna ile umetoka kzn na stress mishe zimebuma halafu unarudi hm mke kanuna / kelele nyingi.

Hapo ndo utajua umuhimu wa kuangalia tabia kuliko Nyash.

Unakuwa na battle nyengine nyumbani
Tabia nzuri bila ya akili ni tatizo pia ....
 
Wengi wenye makalio makubwa akili ni kisoda, Sina tafiti rasmi za makaratasi lakini ni uzoefu wa field Tu.
 
Hivi ni sawa kuoa mwanamke kakuzidi umr kama miaka 4 au 5 lakn amenyoka na ni bikira na ana miaka 32 now?
 
Back
Top Bottom