Ukiangalia 'Nyash' kuliko tabia utakuja kuliona balaa lake

Ukiangalia 'Nyash' kuliko tabia utakuja kuliona balaa lake

Vijana mnaruka baadhi ya hatua Katika maisha yenu na pia wengi wenu hamkupata mafunzo sahihi kutoka kwa Wazazi Jinsi ya kuishi na jamii au wenza wenu kila kukicha inakua kama Vita ya Iran vs USA bila sababu za msingi unakuta watu wana familia vizuri ila mazogo kama wapo sokoni sababu za hovyo hovyo tu..
Una hoja, usikilizwee.
 
Back
Top Bottom