Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Anakwazika magreat thinker hakuna!Sasa hapo yeye anaumizwa na nini. Atakuwa anawashwa na kwamba anataka kukunwa.
Anakwazika magreat thinker hakuna!Sasa hapo yeye anaumizwa na nini. Atakuwa anawashwa na kwamba anataka kukunwa.
Mchawi lugha tu maneno mazuri humtoa nyoka pangoni , mwanaume kama unajua kupanga mistari unampata demu yeyote yuleKwakweli kama unatafuta wa kusaidiana naye kwenye utafutaji bora uangalie tabia tu mdogo’etu! Ni ngumu mno kuwapata hao kam hauna chochote kitu..
Nipe nafc plzzz ndani ya moyo wako hautakuja kujuta nitakupa malavidavi shak rukh khan akasomeKweli eehh 😹
Ni wa kuchezea na kujifunzia kupiga magoli kumbe? 😹😹Gen-z tunapita nao maana tuna mioto ya hatari ila hatuwaoi
Kwamba demu akiwa na nyash Hawez kuwa na akili za utafutaji na tabia nzurimm najua wenye nyash niwakuchezea nakupita zangu kwa mda huu bado damu inachemka kwa fujo.ila ntakapooa navuta demu mwenye tabia nzur tutakayesaidiana kwenye utaftaji.
Wanawabagua sana wenye nyashKwamba demu akiwa na nyash Hawez kuwa na akili za utafutaji na tabia nzuri
Kwamba wenye makebo ndo great thinkers, siyo? Sawa!Anakwazika magreat thinker hakuna!
Hapana, mwanamke mnene Ndio mzuri akiwa amevaa nguo.Mwanamke mwenye makalio makubwa ni mzuri akiwa kavaa
Ndio anaona kama wengine ubongo wetu na makebo tofauti yake ni joto tu😒Kwamba wenye makebo ndo great thinkers, siyo? Sawa!
Hao wanaopenda itabidi waseme Sasa 🤣🤣🤣Wanakuwa wanachachua nini mahi 😹😹
Yah, ila wapo wenye kujitambua.Wanawabagua sana wenye nyash
Wacha weeh 😹😹Nipe nafc plzzz ndani ya moyo wako hautakuja kujuta nitakupa malavidavi shak rukh khan akasome
Kumbe inaongeza nini kwenye mizagamuo 😜Eehhh limao tena !
Mwanamke akiwa hana tako, hata kichwan hawezi kuwa na la maana.Kwamba wenye makebo ndo great thinkers, siyo? Sawa!
Kabisa mbagaYah, ila wapo wenye kujitambua.
Kabisa watueleze 😹Hao wanaopenda itabidi waseme Sasa 🤣🤣🤣
Yeye anaamini akili inatoka makeboni. Nyambafu sana yule mbuzi.Ndio anaona kama wengine ubongo wetu na makebo tofauti yake ni joto tu😒
Kuanzia leo nikimkuta mwanamke asiye na makebo namchapa 😎.Mwanamke akiwa hana tako, hata kichwan hawezi kuwa na la maana.
Kwanza mwanamke anakosaje tako, Yn anaanzaje kukosa tako. Huyu inabidi atengwe kama mwenye ebola
Makebo yanakupa hamasa ya kusaka chapaa kwa welediKuanzia leo nikimkuta mwanamke asiye na makebo namchapa 😎.
Huwa sivumilii upumbavu.
Size gani kwanza nisije kujichekesha hapa kumbe hamtaki kama ubuyu🤭Mwanamke akiwa hana tako, hata kichwan hawezi kuwa na la maana.
Kwanza mwanamke anakosaje tako, Yn anaanzaje kukosa tako. Huyu inabidi atengwe kama mwenye ebola