Ukiangalia 'Nyash' kuliko tabia utakuja kuliona balaa lake

mm najua wenye nyash niwakuchezea nakupita zangu kwa mda huu bado damu inachemka kwa fujo.ila ntakapooa navuta demu mwenye tabia nzur tutakayesaidiana kwenye utaftaji.
TATIZO VIJANA WANAKUJA KUPATA AKILI WAKISHAINGIA NDOANI
 
mm najua wenye nyash niwakuchezea nakupita zangu kwa mda huu bado damu inachemka kwa fujo.ila ntakapooa navuta demu mwenye tabia nzur tutakayesaidiana kwenye utaftaji.
Kwakweli kama unatafuta wa kusaidiana naye kwenye utafutaji bora uangalie tabia tu mdogo’etu! Ni ngumu mno kuwapata hao kama hauna chochote kitu..
 
Back
Top Bottom