Ukiangalia 'Nyash' kuliko tabia utakuja kuliona balaa lake

Ukiangalia 'Nyash' kuliko tabia utakuja kuliona balaa lake

Kwanza ukiwa na mazoea na mwanamke asiye na tako n sawa na kukaribisha laana maishani mwako 😎
Mkuu, mwanamke asiye na makebo ni ibilisi. Kaa naye mbali.

🎙️🔊Pembe la ng'ombe halifichiki,
Hata makebo hayafichiki,
asiye na makebo si keki,
ukimwona toka nduki,
kukaa naye huna haki,
Ni sawa na kukumbatia nyuki 🎶🎵.
 
Mm sasa hv Nmeanza kupiga kelele za mwizi kila nikiona mwanamke hana tako
 
Back
Top Bottom