FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
- Thread starter
- #21
Out of point umewahi ona ulaya watu Derby wanahojiwa wanaongea huo uwehu?Burudani na vituko ni sehemu ya maisha. Ukiona mtu hafanyi burudani wala vituko kama kucheza mziki, kushabikia michezo na siasa au kuimba huyo vituko vyake vinakuaga vya ajabu sana akiwa mwenyewe. Anaweza jiangalia kwenye kioo akaanza kubishana na kivuli chake kuwa yeye ni mrefu zaidi kuliko aliyepo kwenye kioo.