Out of point umewahi ona ulaya watu Derby wanahojiwa wanaongea huo uwehu?Burudani na vituko ni sehemu ya maisha. Ukiona mtu hafanyi burudani wala vituko kama kucheza mziki, kushabikia michezo na siasa au kuimba huyo vituko vyake vinakuaga vya ajabu sana akiwa mwenyewe. Anaweza jiangalia kwenye kioo akaanza kubishana na kivuli chake kuwa yeye ni mrefu zaidi kuliko aliyepo kwenye kioo.
Ushawahi muona jk anaongea pumba?Ukiona huwezi thamini mawazo na mtizamo wa mwenzako tambua wewe ndie tatizo. JK ni Mnazi wa Yanga lkn alikuwa Rais wako. Bakhresa ni tajiri Mkubwa na Mo ni tajiri Mkubwa anayeweza kukuajiri wewe na Mkeo lkn ni Mnazi mkubwa wa timu za Kariakoo.
Halafu wewe kikaragosi huna a wale be umejaaaa UTI unaleta ujuajii mwiiiiiingi kumbe pimbi tu. Acha watu wafurahie mioyo yao kile inapenda Mkuu
Au tukimuona anasoma yale magazeti makubwa yamemfunika uso mzima tunamuona kama lishamba tuhii point haikua na haja, kila mtu na starehe yake
huenda na wewe ukikutwa kwenye pombe watu watakuita mjinga hivyo hivyo.
Unaongelea hawa?Out of point umewahi ona ulaya watu Derby wanahojiwa wanaongea huo uwehu?
Sizani katika wanaohojiwaga kuna ata aliefaulu form four sizaniMashabiki wengi wa Simba na Yanga ni wapumbavu kitu kimoja kinachokera. Hawataki ukweli, wana ushabiki maandazi, kejeli, matusi, kukosa uungwana na mambo mengineyo ya kipuuzi. Mfano baadhi ya Simba kumtukana Manara kwa hali yake, mtu mwenye akili timamu hawezi fanya hivyo hata kama Manara ana lugha kali.
Au wiki hii jinsi mashabiki wengi wa Yanga walivyolalamikia TFF kisa CEO wa Simba kaitwa mkutano wa CAF, unakaa unajiuliza hivi huyu mtu shule alienda kunywa uji tu na kuvaa sweta
Wanaongea kistaarabu ila matendo ya kiwendawazimu. Halafu hivi unafuatilia mpira wa ulaya kweli? Historia na matukio yao inapingana na ww kuwatumia kama reference ya watu waliotulia na wastaarabu.Ushawahi ona wanahojiwa kuongea kama wendawazimu?
Watu wanatukna huko hujui mapenzi ya watu walifungwa wakafanya vuruga kuchoma magari fuatilia brazili alipopigwa 7 na German usiwe unajikuta una akili wakati hata elimu haijakukomboa kujua kingereza sio usomi mshamba mkubwa.Out of point umewahi ona ulaya watu Derby wanahojiwa wanaongea huo uwehu?
Avatar yako inanijulisha kuwa weye ni mjinga kuliko hao watanzania uliowaona kwa Azam TV 😂Wakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .
Inasikitisha sana huenda ndiyo Sababu CCM wanatutawala
Hakika sisi ni wajinga tunaongea pointless sijawahi ona UK, SPAIN au Germany this kind of Rubbish
Labda kama hufuatiliiOut of point umewahi ona ulaya watu Derby wanahojiwa wanaongea huo uwehu?
Umeona mbona unaingilia matakwa ya watu Kuna unaye mlisha hapo Waite wajinga watoto wako !!! Usiwe mpumbavu wa kujiona smartHaujui tu what is democracy anyway pigania unapokula
But every hustle matters