Ukiangalia tambo za mashabiki wa Simba na Yanga kwenye tv utajua kuwa 89% ya Watanzania hawana akili timamu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unataka washabikie siasa ndio uone wana akili, mjinga ni wewe usiyejua kila mtu na ulevi wake na usitake kila mtu afanye unachofanya kuonyesha ana akili
 
Uko sahihi mleta mada..

Sio simba na yanga tu, cheki ushabiki wa muziki, ushabiki katika siasa huko kote watu akili zinawatoka.
Ushabiki uko kila mahali duniani.
Uingereza ushabiki wa mpira ni zaidi ya ukichaa....hakuna cha msomi wala ngumbaru, wote mstati mmoja.

Ukiona mtu anaona aibu eti kisa shabiki anashabikia anavyotaka(muhimu asivunje sheria) yeye ndiye hovyo.
 
Unaweza hisi mleta mada ana akili sana kumbe hamna lolote. Yaani unaanzaje kupangia watu kitu cha kuwafrahisha? Wewe kama uko na stress ni kivyako.
Au mzazi wako ndo aliyekuwa anamuimba mayele?
 
Baadhi ya wabongo mna ujuaji wa kipuuzi sana. Anyaway kiongozi wako wa upinzani ni shabiki mkubwa yanga
Hapo imesemwa yanga tu au zote dada mbona hauko makini kwenye matumizi ya ubongo
 
Shukra mkuu
 
Mtu mzima ukiona anashabikia
Ccm
Simba na Yanga fahamu hayuko sawa kichwani
Una maana gani shehe. Unataka akili ya watanzania iwe kama yako au??? Kuna wanachmama wangapi ccm. Simba/yanga...yaani wote wajinga??? wewe ni mpumbavu, huna akili
 
Poovuuu,Ungekua makini kwenye matumizi ya ubongo usingechanganya siasa na mpira
Hapo imesemwa yanga tu au zote dada mbona hauko makini kwenye matumizi ya ubongo
 
Ushawahi ona wanahojiwa kuongea kama wendawazimu?
Nikikupa video zao utakubali tu
Hivi yanga wanaongeya kama wendawazimu au
Uko mbeleni kuna watu wanajimwagia mpaka mapombe wengine kujipaka mambo ya upumbavu na mambo mengine ambayo kwako unaona ni aibu kwa wenzako ndo furaha yao

Cha mwisho unacho kiona hakifahi kwako kwa mwenzako kinafaha kwa hiyo fata maisha yako mzee baba
 
Wapi nmesema sipendi mpira?

Usikute wewe ni mmoja walikuwa wanahojiwa wanaongea utumbo

Maama reasoning yako ni kama ya mbw"
Hamna sehemu , nliyosema wewe hupendi mpira
katika comment yangu sjui umetumia nini kuelewa hebu jaribu tathmini mara mbilimbili
 
Labda kweli kwani we ulifikir kina mama wote duniani wanapendwa kama unavompenda mama ako wengine ni kina mama alafu wazinguaji tu mapenzi yatatoka wapi mwache mwana aendelee kushow love[emoji3060]
Ziwa la mama li tamu hata kama la mbwa
 
Kwa Tz linapokuja suala la Yanga na Simba, huwezi kutofautisha kati ya Professor na subsistence agriculturists
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…