Ukiangalia tambo za mashabiki wa Simba na Yanga kwenye tv utajua kuwa 89% ya Watanzania hawana akili timamu

Ukiangalia tambo za mashabiki wa Simba na Yanga kwenye tv utajua kuwa 89% ya Watanzania hawana akili timamu

Ushabiki wa soka bongo ni wa kipumbavu, kishamba na kijinga. Kukejeli mtu binafsi kwao ndo ushabiki. Mara ngapi unasikia Babra wa Simba anadhihakiwa kwa sababu ya uanamke wake na watu wanaona sawa tu kwa kuwa hayupo upande wao?! Mara ngapi Manara anaitwa Sope, Takadini, Zeruzeru na tunachekelea tu tunaona sawa.

Kwako hiyo ndo starehe?! Kama inakutoa stress fresh tu basi kuna tatizo mahali.
Wewe ndio una tatizo Mimi mpira ni starehe yangu namba moja hao wanaotukanana ni tabia zao ambazo zimetokana na malezi waliyokulia
 
Hivi unaanzaje kukereka na mtu mwingine, Hali kwako, hali kwako yaani kifupi huna-connection nae. Ukiona unaumia na mambo mtu mwingine basi wewe ndio inashida akili ndogo una-discuss mambo ya watu wengine.
Big up kwa mashabiki wa Simba na Yanga ukiona mtu anawadiscuss mjue nyie ni muhimu sana mleta mada ameshindwa hata kubeba Jembe akalime lami ameamua kuwadiscuss.
 
Wakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .

Inasikitisha sana huenda ndiyo Sababu CCM wanatutawala

Hakika sisi ni wajinga tunaongea pointless sijawahi ona UK, SPAIN au Germany this kind of Rubbish
Ungesema wameongea nini ili tujue, kushabikia simba au yanga sidhani kuwa ni tatizo, hayo uliyasikia kika mtu na upeo wake.

Lakini pia kila mtu aishi maisha yake as long as kila mtu anawajibika na maisha yake.
 
Siku niliyoona Wanasimba wamejazana kwenye Duka la Vunja bei wanapanda kwenye nguzo na kugombania Jezi nikawatoa Akili kabisa
 
Wakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .

Inasikitisha sana huenda ndiyo Sababu CCM wanatutawala
Nadhani kama unashindwa kuelewa hao ni watani wa jadi na kinachofanyika hapo ni utani na sio kitu cha kuchukulia serious huenda mkosa akili hapo sio hao unaowasema bali ni wewe unayewadharau hao ambao wanakula good time
Hakika sisi ni wajinga tunaongea pointless sijawahi ona UK, SPAIN au Germany this kind of Rubbish
I Concur....
 
sasa wanangu tukiwa serious kila mahali maisha yataenda kweli?

sometimes tunahitaji vitu za namna hii,kitu yenyewe ni once kwa mwaka

huwezi kwepa hizi mambo,yote hayo yanakamilisha kitu inaitwa Entertainment

Mpira ume combine mambo kbao mzeiya, ujinga nao muhimu, binafsi siwezi

kuwa serious siku kama ya leo,naongea pumba pumba tu,nichukulie utakavyopona "mi fresh tu"

Nasema hiiviiii nauza jezi za Simba ukinunua 1 nakupa nyongeza jezi ya yanga FREE

iwe iwavyo leo Yanga wanakaa tena wanakaa chini na miguu wananyoosha,siwezi kuwa serious mimi leo.
 
Bila watu wa aina hyo hiyo siyo dunia jombaa
 
Ushabiki ni ulevi kama ulevi wa pombe,ukienda Bar jinsi watu wanavyofanya kule unaweza kusema hawana akili,ila baada ya pombe watu wana maisha si mchezo huwezi kumdhania kua ndio huyu wa jana usiku.
 
Hawa ndo wasomi tulionao Tanzania yani unajiita msomi alafu unashindwa kuelewa kitu kidogo iki.. yani ipo iv jambo swala ushabiki limekaa kihisia sana sio kiakili ndo maana utawakuta watu wote wasomi na wasio na elimu wanakua kitu kimoja yani unataka ushabiki uendeshwe kisomi burudani itatoka wapi acha watu wafurahi ukiona unaona aibu ujue sio sehem yako yani izo nchi ulizotaja ndo wanaupuuzi wa ajabu ukisikiliza interview za mashabiki au kwasababu wanaongea kingereza ndo unaona wanatema fact[emoji16]
 
Wakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .

Inasikitisha sana huenda ndiyo Sababu CCM wanatutawala

Hakika sisi ni wajinga tunaongea pointless sijawahi ona UK, SPAIN au Germany this kind of Rubbish
Kuna mmoja husikika redioni anasema anaipenda timu yake kuliko mama yake mzazi aliyemzaa, huyo ni mtanzania ana familia
 
Nasapoti mkuu..

Mimi nimekuwa mshabiki wa mpira toka enzi lakini nigundua ni upuuzi ila basi tunafosi tu .Yaani inatokea mtu hauli ,hauna raha unagombana na mwenzio kisa matokeo ya mpira kitu ambacho hauna control nacho huku wachezaji wakipata marupurupu na mechi ikiisha kufurahi na kupeana mikono wakati mwingine.

Miziki huko upuuzi umejaa mtu anakujaza hisia feki anaimba mambo ambayo hayana uhalisia na upuuzi kibao . Wakati mwingine wanatunafkia mtu anaimba anapesa anateseka kapuku unaona umepata faraja kumbe mwenzako anakula bata la nguvu.

Siasa ndio kabisa sina ushabiki wala sijawahi kupoteza nguvu zangu kupiga kura naona maigizo tu haswa hapa bongo..
Maradhi ya moyo, presha sijui, naamini yatakaa mbali nawe kwa uwezo wa mola
 
sasa wanangu tukiwa serious kila mahali maisha yataenda kweli?

sometimes tunahitaji vitu za namna hii,kitu yenyewe ni once kwa mwaka

huwezi kwepa hizi mambo,yote hayo yanakamilisha kitu inaitwa Entertainment

Mpira ume combine mambo kbao mzeiya, ujinga nao muhimu, binafsi siwezi

kuwa serious siku kama ya leo,naongea pumba pumba tu,nichukulie utakavyopona "mi fresh tu"

Nasema hiiviiii nauza jezi za Simba ukinunua 1 nakupa nyongeza jezi ya yanga FREE

iwe iwavyo leo Yanga wanakaa tena wanakaa chini na miguu wananyoosha,siwezi kuwa serious mimi leo.
[emoji23][emoji23][emoji23]yanga wanakauoga flani iv kamejificha alafu kale kamvua kamepiga nasikia kamefuta uchawi wao
 
Wewe unastahili cheti.
Nikikutana na Mtu anayeona hivi. Namnunulia bia.

Hakuna kitu kinanikera kama siku ya Leo.
Kuna vijana kama 6 wamepakizana kwenye pikipiki moja kutoka Chalinze wanakwenda Dar kwa mwendo wa hatari
 
Wakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .

Inasikitisha sana huenda ndiyo Sababu CCM wanatutawala

Hakika sisi ni wajinga tunaongea pointless sijawahi ona UK, SPAIN au Germany this kind of Rubbish
Unajua kispanish wewe?
Umefika ujerumani uone tambo zao mtaani?

Mkuupira ni michezo so huo ushabiki maandazi ndio raha yenyewe ya mpira...wewe tuliza vitumbua vyako viwili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Cc DC kasusura
 
Kuna mmoja husikika redioni anasema anaipenda timu yake kuliko mama yake mzazi aliyemzaa, huyo ni mtanzania ana familia
Labda kweli kwani we ulifikir kina mama wote duniani wanapendwa kama unavompenda mama ako wengine ni kina mama alafu wazinguaji tu mapenzi yatatoka wapi mwache mwana aendelee kushow love[emoji3060]
 
Leo ndiyo nmeamini we are still dark country
Mkuu ukifikiri vizuri utsgundua hata wewe una upumbavu kama ifuatavyo;

1. Mpira ni furaha hivyo katikati kati ya furaha mtu awwza ropoka

2. Hapa mapenzi pia ni upumbavu kwani kubwa zima linamvulia binti aliyempita miaka mara 10.
Starehe yoyote kwa upande wa pili ni ujinga mtupu
3. Hivi ukitegemea point gani kwa watu waliohemuka juu ya timu zao wakitambiana?
 
Katika Afrika,Tanzania inashika nafasi ya 9 kwa kuwa na watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri. Ushuhuda wa hilo ni haya ya SIMBA NA YANGA,CCM,MANDONGA na mengine ya hivyo. Kuna watu wazima wanaamka asubuhi breki ya kwanza ni kwenye kibanda cha magazeti na kuanza ubishi wa Azizi Ki,Mayele,na Chama mpaka saa 7 mchana na hao ni watu wana familia. Mpira umeleta ujinga ambao sijapata kuona,mtu anafunga duka kwenda kuangalia Yanga huyohuyo baadaye anashindwa kupeleka marejesho ya mkopo na anakimbia familia. Ukimuuliza anakwambia karogwa. Nashukuru mleta huzi kwa kuliona jambo hilo.
 
Back
Top Bottom