sasa wanangu tukiwa serious kila mahali maisha yataenda kweli?
sometimes tunahitaji vitu za namna hii,kitu yenyewe ni once kwa mwaka
huwezi kwepa hizi mambo,yote hayo yanakamilisha kitu inaitwa Entertainment
Mpira ume combine mambo kbao mzeiya, ujinga nao muhimu, binafsi siwezi
kuwa serious siku kama ya leo,naongea pumba pumba tu,nichukulie utakavyopona "mi fresh tu"
Nasema hiiviiii nauza jezi za Simba ukinunua 1 nakupa nyongeza jezi ya yanga FREE
iwe iwavyo leo Yanga wanakaa tena wanakaa chini na miguu wananyoosha,siwezi kuwa serious mimi leo.