Ukiangalia tambo za mashabiki wa Simba na Yanga kwenye tv utajua kuwa 89% ya Watanzania hawana akili timamu

Hamia burundi mkuu
Wakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .

Inasikitisha sana huenda ndiyo Sababu CCM wanatutawala

Hakika sisi ni wajinga tunaongea pointless sijawahi ona UK, SPAIN au Germany this kind of Rubbish
 
Acha kupamba maua

Kuna raia mmoja wa Kenya alijinyonga arsenal ilipofungwa...
Sina tatizo kama wanashabikia wakiwa in control of their mind.
Rationalism ina mahali pake na ukitafta maana ya maisha hautakaa uishi vitu vingi ni illusion even your mind and what you think to be objective and rational thinking.
 
Wakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .

Inasikitisha sana huenda ndiyo Sababu CCM wanatutawala

Hakika sisi ni wajinga tunaongea pointless sijawahi ona UK, SPAIN au Germany this kind of Rubbish
Bila kusahau kutuambia na kundi lako🤔
 
Wakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .
Ukiwa na mtazamo wengine ni wajinga, basi huenda wewe ni mjinga zaidi yao.
 
Huyu alieandika hii thread hajui mambo ya mpira, fuatilia ulimwenguni kote kuhusu soka...mbona sisi hatujitoi huo ufahamu?
 
Reactions: B51
Mtu hakuombi hela ya chochote, kwanini umfatilie?
 
Wakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .

Inasikitisha sana huenda ndiyo Sababu CCM wanatutawala

Hakika sisi ni wajinga tunaongea pointless sijawahi ona UK, SPAIN au Germany this kind of Rubbish
MKUU UNAWEZA KUWEKA HIYO VIDIO HAPA JAPO KIPANDE TUONE?
 
Wakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .

Inasikitisha sana huenda ndiyo Sababu CCM wanatutawala

Hakika sisi ni wajinga tunaongea pointless sijawahi ona UK, SPAIN au Germany this kind of Rubbish
Acha kua mpuuzi wewe!
Soccer sio siasa.
 
Dini je?
Mbona kawaida kumuona msomi wa Phd anaabudu sanamu la bikra malia?

Tena hapo kwenye dini ndio uswain kabisa, afadhali hivyo ulivyo orodhesha hapo juu.
Dini ni suala pana sana. Ingekua rahisi "kujaji" kama tungekua tunajua Mungu ni dini gani au anataka tumuabudu kupitia dini gani! Mfano: Inasemakana mababu zetu walikua wakifanya matambiko fulani ili mvua zinyeshe na zinanyesha kweli.
 
Simba na Yanga ni janga la taifa humu JF kuna member smart wakiwa wanaongea vitu vingine wanashuka points za maana ngoja waje kwenye hizi timu anakua mtu wa hovyo kabisa
Umepiga pale pale
 
Huyu alieandika hii thread hajui mambo ya mpira, fuatilia ulimwenguni kote kuhusu soka...mbona sisi hatujitoi huo ufahamu?
Nimefuatilia sana na ninaufuatilia na nina ucheza
 
Wakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .

Inasikitisha sana huenda ndiyo Sababu CCM wanatutawala

Hakika sisi ni wajinga tunaongea pointless sijawahi ona UK, SPAIN au Germany this kind of Rubbish
Ungewaacha tu na pumba zao nadhani ingukuwa busara zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…