Lamzettttt
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,218
- 3,481
Makolo ndo wamizidi....bora wazee wa byutibyuti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .
Inasikitisha sana huenda ndiyo Sababu CCM wanatutawala
Hakika sisi ni wajinga tunaongea pointless sijawahi ona UK, SPAIN au Germany this kind of Rubbish
Acha kupamba maua
Kuna raia mmoja wa Kenya alijinyonga arsenal ilipofungwa...Wakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .
Inasikitisha sana huenda ndiyo Sababu CCM wanatutawala
Hakika sisi ni wajinga tunaongea pointless sijawahi ona UK, SPAIN au Germany this kind of Rubbish
Bila kusahau kutuambia na kundi lako🤔Wakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .
Inasikitisha sana huenda ndiyo Sababu CCM wanatutawala
Hakika sisi ni wajinga tunaongea pointless sijawahi ona UK, SPAIN au Germany this kind of Rubbish
Akiweza hata na Rwanda 🏃Hamia burundi mkuu
Ukiwa na mtazamo wengine ni wajinga, basi huenda wewe ni mjinga zaidi yao.Wakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .
MKUU UNAWEZA KUWEKA HIYO VIDIO HAPA JAPO KIPANDE TUONE?Wakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .
Inasikitisha sana huenda ndiyo Sababu CCM wanatutawala
Hakika sisi ni wajinga tunaongea pointless sijawahi ona UK, SPAIN au Germany this kind of Rubbish
Kulikua na london derby jana jamaa angejionea vituko [emoji16]MKUU UNAWEZA KUWEKA HIYO VIDIO HAPA JAPO KIPANDE TUONE?
Acha kua mpuuzi wewe!Wakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .
Inasikitisha sana huenda ndiyo Sababu CCM wanatutawala
Hakika sisi ni wajinga tunaongea pointless sijawahi ona UK, SPAIN au Germany this kind of Rubbish
Dini ni suala pana sana. Ingekua rahisi "kujaji" kama tungekua tunajua Mungu ni dini gani au anataka tumuabudu kupitia dini gani! Mfano: Inasemakana mababu zetu walikua wakifanya matambiko fulani ili mvua zinyeshe na zinanyesha kweli.Dini je?
Mbona kawaida kumuona msomi wa Phd anaabudu sanamu la bikra malia?
Tena hapo kwenye dini ndio uswain kabisa, afadhali hivyo ulivyo orodhesha hapo juu.
kweli mkuu, kuna time akili inafyatuka kwa sababu ya simba na yangaKulikua na london derby jana jamaa angejionea vituko [emoji16]
OKAY MKUUHapana niliona kwenye TV sikuipakua clip
Ungewaacha tu na pumba zao nadhani ingukuwa busara zaidiWakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .
Inasikitisha sana huenda ndiyo Sababu CCM wanatutawala
Hakika sisi ni wajinga tunaongea pointless sijawahi ona UK, SPAIN au Germany this kind of Rubbish