Ukiangalia ukwasi waliokuwa nao wafanyakazi wa bandari na ufanisi ni mdogo ni bora bandari ipewe mwekezaji

Nimesema ufanisi ni mdogo na ni kweli bandari ya dar es salaam ufanisi ni mdogo
Haya unasema leo? Mbona mara nyingi taarifa zintolewa na serikali kuwa ufanisi umeongezeka sana na mapato yameongezeka? TBC waliandaa kipindi kabisa na wakaeleza jinsi bandari ufanisi ulivyoongezeka chini ya mama Samia?
 
Hao mchwa wapo wizarani, kwenye wizara nyingi tu, vipi nazo tubinafsishe?
 
Ni nini kazi ya serikali? Kama serikali inashindwa kuendesha eneo dogo kama bandari itawezaje nchi nzima? Kuna mambo mengine ni zaidi ya upumbavu. Unadhani serekali inayoshindwa kuendesha bandari ndogo itaweza kukusanya kodi nchi nzima? Hii ni laana kubwa sana. Rais Samia akiruusu ukodishaji wa hiyo bandara basi atakuwa rais mjinga sana.
 
Yaani Tanzania tuna watu wa Ajabu sana mfano dhahabu iko Nyamongo wilaya ya Tarime Serikali inakusanya kodi kila mwaka kwenye huo mgodi lakini barabara inayotoka Tarime kwenda Nyamongo ni matope huku ndege za Wazungu zikiruka kila siku kusafirisha madini.
 
Hiyo siyo TAHADHARI bali ni uhalisia kuwa wapiga dili wameamua mazima kuiuza Bandari ya Dar es Salaam kwa Waarabu ili siku moja Tanzania iwe chini ya Waarabu.
 
Fact.
 
Kwa nini tusiseme tu serikali nayo ibinafsshe ili .kwa bandari ipo chini ya nani
 
Mkuu Pole sana umekoment kwa uchubgu sana lakini imekuchukua mda kugudua tunataisi mjinga .mimi lishaalingamua kipidi kama miaka 2 hivyo , tuvumilie tu hapa tulipo maana pale amna raisi kuna bosheni tu
 
Mkuu Pole sana umekoment kwa uchubgu sana lakini imekuchukua mda kugudua tunataisi mjinga .mimi lishaalingamua kipidi kama miaka 2 hivyo , tuvumilie tu hapa tulipo maana pale amna raisi kuna bosheni tu
Mimi huyu tangu akiwa makamu nilishawaambia watu ni hatari sana sana. Kichwani hana lolote halafu ana mawazo ya kitumwa ya kudhani nchi haiwezi kufanya lolote bila msaada.
 
Mkuu Pole sana umekoment kwa uchubgu sana lakini imekuchukua mda kugudua tunataisi mjinga .mimi lishaalingamua kipidi kama miaka 2 hivyo , tuvumilie tu hapa tulipo maana pale amna raisi kuna bosheni tu
Hao werevu wamefanya nin cha maana sana simtetei samia ila kama tungekua na marais wazuri sana nchi isingekua maskini baada ya miaka 60 ya uhuru
 
Rais Mama Samia....amewasikia atatenda....!! Mama anaupiga mwingi
 
Wafanyakazi bandari wao wanapiga hesabu za kuiba tu
Mambo ya ufanisi wa kazi wala hawana moango nayo

Ova
 
Tatizo sio hiyo ndoa bali gharama za kuvunja ndoa ukiona mambo sio mambo. Kama tunaona wafanyakazi wetu ni Tatizo tuweke Mngt toka nje.
Ilivyokuja TICTS hadithi iilikuwa kama hii, airport ya KIA ilipoingia hadithi ilikuwa kama hii, Alliance Air, SAA airways n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…