Ukiangalia ukwasi waliokuwa nao wafanyakazi wa bandari na ufanisi ni mdogo ni bora bandari ipewe mwekezaji

Nimesema ufanisi ni mdogo na ni kweli bandari ya dar es salaam ufanisi ni mdogo
Haya unasema leo? Mbona mara nyingi taarifa zintolewa na serikali kuwa ufanisi umeongezeka sana na mapato yameongezeka? TBC waliandaa kipindi kabisa na wakaeleza jinsi bandari ufanisi ulivyoongezeka chini ya mama Samia?
 
nakuunga mkono kwa asilimia mia. Tahadhari: mchwa mfano waliopo bandarini utakuta ni hao hao watakaoingia mikataba kwa niaba ya serikali na wawekezaji na hivyo serikali kuingizwa katika mikataba isiyokuwa na tija huku hao mchwa wachache wakinufaika na keki ya wote.
Hao mchwa wapo wizarani, kwenye wizara nyingi tu, vipi nazo tubinafsishe?
 
Mod nakuomba huu uzi usiunganishe

Ukiangalia hapa duniani management ni tatizo kubwa tuliokua nao waafrika sehemu yeyote katika nchi za kiafrika watu wanapigania matumbo yao na sio uhai na ufanisi wa taasisi au kampuni husika.

Ukiangalia ukwasi waliokua nao wafanyakazi wa bandari binafsi nasupport 100 ibinafsiswe kwa mwekezaji kwa sababu ni ukweli uliokua wazi wafanyakazi walio wengi wanapigania matumbo yao na sio kuongeza ufanisi wa bandarini.

Wako watu watakaopinga lakin serekali imefanya kitu sahihi haiwezekan tunakuw na role model wa watoto wetu ni wafanyakazi wa sehemu husika mishahara yao ni ya kawaida ila ni mabilionea.

Madhara yake tunatengeneza kizazi kinachoamin shortcut, rushwa na connection, kamwe kizazi hiko hakiwez amini kujituma ili uwe tajiri.

Serekali ijukite kwenye kukusanya kodi na sio bandari hata mwendokasi atafutwe mwekezaji waachane na watu wababaishaji

Na kwa sekta kama TRA ambazo huwezi binafsisha wawe wanafanya thoroughly Lifestyle auditing sababu TRA alone kuna mabilionea kibao ambao utajir wao hauna maelezo ya kujitosheleza na imagine hawa ndo role model wa watoto wetu
Ni nini kazi ya serikali? Kama serikali inashindwa kuendesha eneo dogo kama bandari itawezaje nchi nzima? Kuna mambo mengine ni zaidi ya upumbavu. Unadhani serekali inayoshindwa kuendesha bandari ndogo itaweza kukusanya kodi nchi nzima? Hii ni laana kubwa sana. Rais Samia akiruusu ukodishaji wa hiyo bandara basi atakuwa rais mjinga sana.
 
Hii ni justification ya ajabu kidogo. Kabla ya yote sidhani kuna mfanyakazi wa TPA ni bilionea, hapa chumvi imezidi. Tz tuna mabilionea wachache Sana

Pili, hapa Ni kuhamisha huo unaoita ukwasi kutoka kwahao unaosema wabongo kwenda kwa hao wawekezaji wapya. Sasa utachagua ukwasi ubaki kwa wabongo au uende kwa hao wageni

Tatu hili suala la kusema serikali ibaki kukusanya Kodi ni kichaka tu, ni uongo mkubwa. Kwenye madini mbona mmeshindwa kukusanya?
Wewe unasimamia bandari, wafanyakazi wapo chini yako na chini ya sheria kali lakini bado umeshindwa kukusanya Kodi, utaweza kwa hao ambao ni werevu na wajuzi?

Soma cases ambazo hao dp world wanazo huko kwingine uone jinsi wanavyokwepa Kodi, njoo ujiulize Tz hii tunayoijua ni maajabu gani yatatokea kuwafanya muweze kupata Kodi yenu stahiki
Yaani Tanzania tuna watu wa Ajabu sana mfano dhahabu iko Nyamongo wilaya ya Tarime Serikali inakusanya kodi kila mwaka kwenye huo mgodi lakini barabara inayotoka Tarime kwenda Nyamongo ni matope huku ndege za Wazungu zikiruka kila siku kusafirisha madini.
 
nakuunga mkono kwa asilimia mia. Tahadhari: mchwa mfano waliopo bandarini utakuta ni hao hao watakaoingia mikataba kwa niaba ya serikali na wawekezaji na hivyo serikali kuingizwa katika mikataba isiyokuwa na tija huku hao mchwa wachache wakinufaika na keki ya wote.
Hiyo siyo TAHADHARI bali ni uhalisia kuwa wapiga dili wameamua mazima kuiuza Bandari ya Dar es Salaam kwa Waarabu ili siku moja Tanzania iwe chini ya Waarabu.
 
Ni nini kazi ya serikali? Kama serikali inashindwa kuendesha eneo dogo kama bandari itawezaje nchi nzima? Kuna mambo mengine ni zaidi ya upumbavu. Unadhani serekali inayoshindwa kuendesha bandari ndogo itaweza kukusanya kodi nchi nzima? Hii ni laana kubwa sana. Rais Samia akiruusu ukodishaji wa hiyo bandara basi atakuwa rais mjinga sana.
Fact.
 
Mod nakuomba huu uzi usiunganishe

Ukiangalia hapa duniani management ni tatizo kubwa tuliokua nao waafrika sehemu yeyote katika nchi za kiafrika watu wanapigania matumbo yao na sio uhai na ufanisi wa taasisi au kampuni husika.

Ukiangalia ukwasi waliokua nao wafanyakazi wa bandari binafsi nasupport 100 ibinafsiswe kwa mwekezaji kwa sababu ni ukweli uliokua wazi wafanyakazi walio wengi wanapigania matumbo yao na sio kuongeza ufanisi wa bandarini.

Wako watu watakaopinga lakin serekali imefanya kitu sahihi haiwezekan tunakuw na role model wa watoto wetu ni wafanyakazi wa sehemu husika mishahara yao ni ya kawaida ila ni mabilionea.

Madhara yake tunatengeneza kizazi kinachoamin shortcut, rushwa na connection, kamwe kizazi hiko hakiwez amini kujituma ili uwe tajiri.

Serekali ijukite kwenye kukusanya kodi na sio bandari hata mwendokasi atafutwe mwekezaji waachane na watu wababaishaji

Na kwa sekta kama TRA ambazo huwezi binafsisha wawe wanafanya thoroughly Lifestyle auditing sababu TRA alone kuna mabilionea kibao ambao utajir wao hauna maelezo ya kujitosheleza na imagine hawa ndo role model wa watoto wetu
Kwa nini tusiseme tu serikali nayo ibinafsshe ili .kwa bandari ipo chini ya nani
 
Ni nini kazi ya serikali? Kama serikali inashindwa kuendesha eneo dogo kama bandari itawezaje nchi nzima? Kuna mambo mengine ni zaidi ya upumbavu. Unadhani serekali inayoshindwa kuendesha bandari ndogo itaweza kukusanya kodi nchi nzima? Hii ni laana kubwa sana. Rais Samia akiruusu ukodishaji wa hiyo bandara basi atakuwa rais mjinga sana.
Mkuu Pole sana umekoment kwa uchubgu sana lakini imekuchukua mda kugudua tunataisi mjinga .mimi lishaalingamua kipidi kama miaka 2 hivyo , tuvumilie tu hapa tulipo maana pale amna raisi kuna bosheni tu
 
Mimi huyu tangu akiwa makamu nilishawaambia watu ni hatari sana sana. Kichwani hana lolote halafu ana mawazo ya kitumwa ya kudhani nchi haiwezi kufanya lolote bila msaada.
 
Mkuu Pole sana umekoment kwa uchubgu sana lakini imekuchukua mda kugudua tunataisi mjinga .mimi lishaalingamua kipidi kama miaka 2 hivyo , tuvumilie tu hapa tulipo maana pale amna raisi kuna bosheni tu
Hao werevu wamefanya nin cha maana sana simtetei samia ila kama tungekua na marais wazuri sana nchi isingekua maskini baada ya miaka 60 ya uhuru
 
Rais Mama Samia....amewasikia atatenda....!! Mama anaupiga mwingi
 
Wafanyakazi bandari wao wanapiga hesabu za kuiba tu
Mambo ya ufanisi wa kazi wala hawana moango nayo

Ova
 
Hii ni justification ya ajabu kidogo. Kabla ya yote sidhani kuna mfanyakazi wa TPA ni bilionea, hapa chumvi imezidi. Tz tuna mabilionea wachache Sana

Pili, hapa Ni kuhamisha huo unaoita ukwasi kutoka kwahao unaosema wabongo kwenda kwa hao wawekezaji wapya. Sasa utachagua ukwasi ubaki kwa wabongo au uende kwa hao wageni

Tatu hili suala la kusema serikali ibaki kukusanya Kodi ni kichaka tu, ni uongo mkubwa. Kwenye madini mbona mmeshindwa kukusanya?
Wewe unasimamia bandari, wafanyakazi wapo chini yako na chini ya sheria kali lakini bado umeshindwa kukusanya Kodi, utaweza kwa hao ambao ni werevu na wajuzi?

Soma cases ambazo hao dp world wanazo huko kwingine uone jinsi wanavyokwepa Kodi, njoo ujiulize Tz hii tunayoijua ni maajabu gani yatatokea kuwafanya muweze kupata Kodi yenu stahiki
Tatizo sio hiyo ndoa bali gharama za kuvunja ndoa ukiona mambo sio mambo. Kama tunaona wafanyakazi wetu ni Tatizo tuweke Mngt toka nje.
Ilivyokuja TICTS hadithi iilikuwa kama hii, airport ya KIA ilipoingia hadithi ilikuwa kama hii, Alliance Air, SAA airways n.k.
 
Back
Top Bottom