Ukiangalia Uongozi wa ACT wazalendo unaweza kupingana na kauli ya mstaafu Kikwete!

Ukiangalia Uongozi wa ACT wazalendo unaweza kupingana na kauli ya mstaafu Kikwete!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Uongozi wa ACT wazalendo enzi za Mwigsmba ulibalance yaani Akina Kitila, Akina Mghwira rip, Zitto, Mchange nk

Baada ya kuhamia Pemba kimekuwa hakina Wagalatia kabisa Membe rip alijaribu Lakini wapi

Ukiingia kwenye kikao cha Baraza kuu la ACT wazalendo unaweza kudhani ni Baraza la Eid tofauti Wao wanaketi kwenye viti tu 😀

Mlale unono 😀😀
 
Back
Top Bottom