Teddy1
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 213
- 201
98% ya Watanzania wanamkubali sana Rais Samia.Rais Samia ni chuma na yupo imara kama Simba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
98% ya Watanzania wanamkubali sana Rais Samia.Rais Samia ni chuma na yupo imara kama Simba
Hongera Rais Samia kwa kutupeleka uchumi wa kati.98% ya Watanzania wanamkubali sana Rais Samia.
Mbona Rais Samia anatoa elimu bure ? Waambieni Chadema kazi yao ni kununua sare tu ada watoto wanalipiwa na Rais Samia.Hongera Rais Samia kwa kutupeleka uchumi wa kati.
Vijana kama sisi ndio wazalendo Tumpe muda Rais Samia afanye mambo makubwa.Mbona Rais Samia anatoa elimu bure ? Waambieni Chadema kazi yao ni kununua sare tu ada watoto wanalipiwa na Rais Samia.
Mama Samia anafanya yaliyowashinda viongozi wengi sana wa Africa.Vijana kama sisi ndio wazalendo Tumpe muda Rais Samia afanye mambo makubwa.
Asante sana Rais Samia kwa kuwapenda watanzania, Mungu akupe afya njema daima.Mama Samia anafanya yaliyowashinda viongozi wengi sana wa Africa.
Unajua ni kwanini Rais Samia anamshinda Tundu Lissu? Ni kwa sababu yule kiwete wa Ubelgiji hana jipya na watanzania wamechoka kelele zake.Asante sana Rais Samia kwa kuwapenda watanzania, Mungu akupe afya njema daima.
Hata siku moja Rais Samia hapumzishwi wala kutishwa na wahuni wa mtandaoni.Unajua ni kwanini Rais Samia anamshinda Tundu Lissu? Ni kwa sababu yule kiwete wa Ubelgiji hana jipya na watanzania wamechoka kelele zake.
Ni aibu kubwa kumpinga Rais Samia kwa uzalendo anaouonesha.Hata siku moja Rais Samia hapumzishwi wala kutishwa na wahuni wa mtandaoni.
Binafsi naona Rais Samia anapambana na UZEMBE NA RUSHWA kuliko marais wote waliopata kuiongoza Tanzania.
Suala la wabunge wa covid 19Habari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums
Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
View attachment 1754058
Rais wa sasa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu ni mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hapa nchini Tanzania. Alikuwa mbunge wa jimbo la Makunduchi visiwani Zanzibar kuanzia 2010 hadi 2015, na alikuwa waziri wa nchi anaeshughulikia muungano katika muda huo.
Samia Suluhu Hassan ndiye makamu wa Rais wa kwanza mwanamke nchini Tanzania. Kabla ya kuwa Rais kutokana na kifo cha Rais John Pombe Magufuli, kilichotokea tarehe 17 Machi 2021, Suluhu alikuwa makamu wa Rais kwa sababu ya kuwa mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.
Tarehe 5 Novemba 2015 aliapishwa kama makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa mwanamke wa kwanza kufikia cheo hicho, akarudia baada ya uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2020.
SWALI: Ukibahatika kukutana na Rais Samia "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Nmecheka kwa nguvu mpaka ndege wameruka huko nje[emoji23][emoji23][emoji23]Ndo kaamua kutufungulia majambazi kutoka jela yatumalize vzur, aendelee tu atajuta
Rais Samia ni mtu mwema na yupo makini sana huyu mama yetu.Ni aibu kubwa kumpinga Rais Samia kwa uzalendo anaouonesha.
Usimfananishe Rais Samia na watu wa hovyo hovyo aisee. Huyu mama ni mchapakazi.Rais Samia ni mtu mwema na yupo makini sana huyu mama yetu.
Samia Mungu azidi kukulinda Rais wetu.Usimfananishe Rais Samia na watu wa hovyo hovyo aisee. Huyu mama ni mchapakazi.