Ukibahatika kukutana na Rais Samia utamuuliza swali gani la msingi?

Nitamuuliza kwanini alisema askari wao wanamafunzo risasi tatu akikukosa hana kazi ? Kwanini alisema hata mkipigia kura kwingine ccm itashinda tu ?
 
Kwanini nchi haina university teaching hospital
 
Ningemuuliza hivi wakati anatangaza kifo cha mwendazake pale ilikuwaje kuwaje kabla huko nyuma ya pazia...sijui angenijibu au ndio wale jamaa wa miwani mieusi wangenibeba nikalisaidie taifa
 
Ndo kaamua kutufungulia majambazi kutoka jela yatumalize vzur, aendelee tu atajuta
 
Suala la wabunge wa covid 19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…