Ukibahatika kukutana na Rais Samia utamuuliza swali gani la msingi?

Katiba
 
Nitamuuliza kuwa kama anajua kuwa Taasisi za serikali zimeanza kuvinjari kwenye mahotel badala ya kutumia kumbi za serikali
 
Nitasema

Nitamwambia Mheshimiwa Rais ! Ulivyoanza ndo tunakuombea umalize 2030 kwa mwendo huo huo. Inawezekana kuongoza bila kuwa mkorofi na kurekebisha bila kutoka mapovu.
Tumwache Rais aweke mambo sawa kwanza. Baada ya 100 days ndo tuanze kumwuliza maswali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…