Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
Atatumia mbinu gani kutatua changamoto za ajira hasa kwa vijana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlienda kwa waziri kwanza?Ni LINI tutalipwa FIDIA ya ardhi iliyotwaliwa kwa ajili ya UWANJA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO,?
Nikafanye Nini wakati huo nitakuwa nimekutana na Mh.ana kwa Ana Mkuu.Mlienda kwa waziri kwanza?
Hivi hii Msalato ipo wapi? Songea?Ni LINI tutalipwa FIDIA ya ardhi iliyotwaliwa kwa ajili ya UWANJA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO,?
DODOMA MkuuHivi hii Msalato ipo wapi? Songea?
Endelea kujitoa ufahamu hivyo hivyoHivi hii Msalato ipo wapi? Songea?
Ukikutana na Rais unamalizana naye hapo hapoMlienda kwa waziri kwanza?
Kuna mambo mengi ya kuweka sawa ambayo yalivurugwa. kuongoza nchi siyo kama kuongoza kampuni ama familiaKwa nini alisema Katiba mpya tusubiri kwanza
KatibaHabari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums
Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
View attachment 1754058
Rais wa sasa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu ni mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hapa nchini Tanzania. Alikuwa mbunge wa jimbo la Makunduchi visiwani Zanzibar kuanzia 2010 hadi 2015, na alikuwa waziri wa nchi anaeshughulikia muungano katika muda huo.
Samia Suluhu Hassan ndiye makamu wa Rais wa kwanza mwanamke nchini Tanzania. Kabla ya kuwa Rais kutokana na kifo cha Rais John Pombe Magufuli, kilichotokea tarehe 17 Machi 2021, Suluhu alikuwa makamu wa Rais kwa sababu ya kuwa mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.
Tarehe 5 Novemba 2015 aliapishwa kama makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa mwanamke wa kwanza kufikia cheo hicho, akarudia baada ya uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2020.
SWALI: Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Katiba imefanya nini mkuu?Katiba
Nitamuuliza kuwa kama anajua kuwa Taasisi za serikali zimeanza kuvinjari kwenye mahotel badala ya kutumia kumbi za serikaliHabari za muda huu ndugu zangu wa jamiiforums
Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
View attachment 1754058
Rais wa sasa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu ni mwanasiasa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hapa nchini Tanzania. Alikuwa mbunge wa jimbo la Makunduchi visiwani Zanzibar kuanzia 2010 hadi 2015, na alikuwa waziri wa nchi anaeshughulikia muungano katika muda huo.
Samia Suluhu Hassan ndiye makamu wa Rais wa kwanza mwanamke nchini Tanzania. Kabla ya kuwa Rais kutokana na kifo cha Rais John Pombe Magufuli, kilichotokea tarehe 17 Machi 2021, Suluhu alikuwa makamu wa Rais kwa sababu ya kuwa mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.
Tarehe 5 Novemba 2015 aliapishwa kama makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa mwanamke wa kwanza kufikia cheo hicho, akarudia baada ya uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2020.
SWALI: Ukibahatika kukutana na Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan "face to face" utamuuliza swali gani la msingi?
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Tumwache Rais aweke mambo sawa kwanza. Baada ya 100 days ndo tuanze kumwuliza maswali.Nitasema
Nitamwambia Mheshimiwa Rais ! Ulivyoanza ndo tunakuombea umalize 2030 kwa mwendo huo huo. Inawezekana kuongoza bila kuwa mkorofi na kurekebisha bila kutoka mapovu.
Utamuuliza swali gani la msingi?
Poa chiefDODOMA Mkuu
Hahahaa kweli mkuu sijui ipo wapi. Sijaishi sana Tanzania ujue?Endelea kujitoa ufahamu hivyo hivyo
Rais Mama Samia ndio habari ya mjiniUkikutana na Rais unamalizana naye hapo hapo
OkayNikafanye Nini wakati huo nitakuwa nimekutana na Mh.ana kwa Ana Mkuu.