Ukichaguliwa saut main campus mwanza fahamu hili tafadhali ni muhimu sana.

kapu

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
218
Reaction score
44
kwa wale watakaochaguliwa kujiunga saut main campus katika degree ya EDUCATION,LAWS[LL.B],SOCIOLOGY,BUSINESS ADMINSTRATION"hakikisha unasoma list watakaoitoa wao kama chuo na sio ile ya TCU kwani watakupangia upya ni campus gani utasoma kati ya main campus-mwanza,Bukoba,Tabora na Songea.kuhakiki kasome katika website yao Saint Augustine University of Tanzania kwenye joining instructions za 2013-2014.Hasanteni.
 
Ubarikiwe
 
bachelor of arts in public relation and marketing ipo main campus peke yake?
 
nimesikia wanatoa selection kesho,nilimuomba jamaa angu anichekie mtu fulani akaniamba wamemuambia matokeo yapo chuo lakin bado yapo ki-internal zaidi,hivyo hawawezi kumuonyesha subiri j3 watabandika,sasa sina hakika kama itakuwa hivyo kweli
 
ngoja tusubiri japo wao ndo wameeleza kuhusu hilo katika form zao.
 
Back
Top Bottom