kwa wale watakaochaguliwa kujiunga saut main campus katika degree ya EDUCATION,LAWS[LL.B],SOCIOLOGY,BUSINESS ADMINSTRATION"hakikisha unasoma list watakaoitoa wao kama chuo na sio ile ya TCU kwani watakupangia upya ni campus gani utasoma kati ya main campus-mwanza,Bukoba,Tabora na Songea.kuhakiki kasome katika website yao Saint Augustine University of Tanzania kwenye joining instructions za 2013-2014.Hasanteni.