Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Usitutishe!
Kama umetumwa na kingai au Mahita mwambie pole Sana amechelewa!
keep watching mwisho wa siku nani ataonekana zuzu kati yangu Mimi na wewe!nyie watu ujinga mmefungiwa kwa nati vichwani.
Rubbish, facts za case ya Mbowe Ni tofauti Sana Tena Sana na za Sabaya, Mbowe siyo gaidi. Anasinhiziwa kwa ajili ya msimamo wake kisiasaNasema hivi ya Sabaya yameisha anatumikia adhabu yake, watu wamefurahi wameshangilia na wamemsifu hakimu na mahakama pia.
ANGALIZO: mahakama zetu ni hizohizo ndio zinaendesha kesi ya bwana Mbowe.
Tutaendelea kusubiria hukumu yake na tuwe tayari kuipokea vyovyote vile tena kwa kushangilia kama ilivyo kuwa kwa Sabaya.
Maana sisi sote tuna imani na mahakama zetu, hivyo tuziache zifanye kazi yake tukae kimyaa.
Ukicheka sana leo ujue kuna siku utalia sana pia hayo ndio maisha yetu.
Nasema hivi ya Sabaya yameisha anatumikia adhabu yake, watu wamefurahi wameshangilia na wamemsifu hakimu na mahakama pia.
ANGALIZO: mahakama zetu ni hizohizo ndio zinaendesha kesi ya bwana Mbowe.
Tutaendelea kusubiria hukumu yake na tuwe tayari kuipokea vyovyote vile tena kwa kushangilia kama ilivyo kuwa kwa Sabaya.
Maana sisi sote tuna imani na mahakama zetu, hivyo tuziache zifanye kazi yake tukae kimyaa.
Ukicheka sana leo ujue kuna siku utalia sana pia hayo ndio maisha yetu.
Kipnd yy anacheka, pengne Kuna watu walilia pia..what goes around..Nasema hivi ya Sabaya yameisha anatumikia adhabu yake, watu wamefurahi wameshangilia na wamemsifu hakimu na mahakama pia.
ANGALIZO: mahakama zetu ni hizohizo ndio zinaendesha kesi ya bwana Mbowe.
Tutaendelea kusubiria hukumu yake na tuwe tayari kuipokea vyovyote vile tena kwa kushangilia kama ilivyo kuwa kwa Sabaya.
Maana sisi sote tuna imani na mahakama zetu, hivyo tuziache zifanye kazi yake tukae kimyaa.
Ukicheka sana leo ujue kuna siku utalia sana pia hayo ndio maisha yetu.
Mumeo sabaya hupo jela huna wakukuna marinda sasa una hahaNasema hivi ya Sabaya yameisha anatumikia adhabu yake, watu wamefurahi wameshangilia na wamemsifu hakimu na mahakama pia.