Ukicheka ya Sabaya, Usihuzunike ya Mbowe

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
Nasema hivi ya Sabaya yameisha anatumikia adhabu yake, watu wamefurahi wameshangilia na wamemsifu hakimu na mahakama pia.

ANGALIZO: mahakama zetu ni hizohizo ndio zinaendesha kesi ya bwana Mbowe.

Tutaendelea kusubiria hukumu yake na tuwe tayari kuipokea vyovyote vile tena kwa kushangilia kama ilivyo kuwa kwa Sabaya.

Maana sisi sote tuna imani na mahakama zetu, hivyo tuziache zifanye kazi yake tukae kimyaa.

Ukicheka sana leo ujue kuna siku utalia sana pia hayo ndio maisha yetu.
 
Rubbish, facts za case ya Mbowe Ni tofauti Sana Tena Sana na za Sabaya, Mbowe siyo gaidi. Anasinhiziwa kwa ajili ya msimamo wake kisiasa
 
Nasema hivi ya Sabaya yameisha anatumikia adhabu yake, watu wamefurahi wameshangilia na wamemsifu hakimu na mahakama pia.

ANGALIZO: mahakama zetu ni hizohizo ndio zinaendesha kesi ya bwana Mbowe.

Tutaendelea kusubiria hukumu yake na tuwe tayari kuipokea vyovyote vile tena kwa kushangilia kama ilivyo kuwa kwa Sabaya.

Maana sisi sote tuna imani na mahakama zetu, hivyo tuziache zifanye kazi yake tukae kimyaa.

Ukicheka sana leo ujue kuna siku utalia sana pia hayo ndio maisha yetu.

Wewe utakuwa mwehu tu
 
Kesi za Ugaidi ni ngumu sana kuwatia watu hatiani

Marekan hadi leo mwaka wa 20 inashindwa kuwatia hatiani wale Mahabusu wa kule Gwantanamo

Tunamtakia kila la kheir Kamanda wa Anga atoke Salama
 
Kufa kwako kwa ugonjwa wa tumbo sio kipimo cha rafiki yako kufa kwa tumbo la la kipindupindu kwa uchafu wako.
 
Nasema hivi ya Sabaya yameisha anatumikia adhabu yake, watu wamefurahi wameshangilia na wamemsifu hakimu na mahakama pia.

ANGALIZO: mahakama zetu ni hizohizo ndio zinaendesha kesi ya bwana Mbowe.

Tutaendelea kusubiria hukumu yake na tuwe tayari kuipokea vyovyote vile tena kwa kushangilia kama ilivyo kuwa kwa Sabaya.

Maana sisi sote tuna imani na mahakama zetu, hivyo tuziache zifanye kazi yake tukae kimyaa.

Ukicheka sana leo ujue kuna siku utalia sana pia hayo ndio maisha yetu.
Kipnd yy anacheka, pengne Kuna watu walilia pia..what goes around..
 
Nasema hivi ya Sabaya yameisha anatumikia adhabu yake, watu wamefurahi wameshangilia na wamemsifu hakimu na mahakama pia.

ANGALIZO: mahakama zetu ni hizohizo ndio zinaendesha kesi ya bwana Mbowe.

Tutaendelea kusubiria hukumu yake na tuwe tayari kuipokea vyovyote vile tena kwa kushangilia kama ilivyo kuwa kwa Sabaya.

Maana sisi sote tuna imani na mahakama zetu, hivyo tuziache zifanye kazi yake tukae kimyaa.

Ukicheka sana leo ujue kuna siku utalia sana pia hayo ndio maisha yetu.
Mumeo sabaya hupo jela huna wakukuna marinda sasa una haha
 
Back
Top Bottom